Selfika na JF: Snap it. Show it

Ulijuaje?? Nakunywa maji nakaribia lita 5 sasa kichwa kinaniuma.

Basi yaishe mtu wangu naona utani utaelekea kubaya bure tuanze kupishana km bus za mkoa
tatizo lako nakuambia njoo nikukande... wala kichwa kisingekuuma tatizo ubishi wakoo tu.. utafikiri nitaibebaa

Ila pole mdogo wangu!
Pona kichwa ukae sawa
 
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1][emoji2][emoji2], Relax jamani

Mimi nilikua nachukulia utani mbona pacha, sema kuna watu walijua tuko serious ndiomana mtu chake nilimwambia huyo tunataniana tunajuana!! Lkn nikaona wapambe wengi wanaforce iwe ukweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
tatizo lako nakuambia njoo nikukande... wala kichwa kisingekuuma tatizo ubishi wakoo tu.. utafikiri nitaibebaa

Ila pole mdogo wangu!
Pona kichwa ukae sawa

Uje unikande kichwa??? We sikuamini kabisaa utanizidishia ugonjwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu Kama unazo, Kuna vi kampuni vidogo vina rise sana- China Wana tu small rising companies.
๐Ÿ‘‰ Usa ndo USI pime, angalia kipindi Cha shark tank- Kuna vi kampuni Kama njugu๐Ÿ˜„๐Ÿ˜ƒ
sema stock mzunguko wake wa pesa nimdogo kulingnisha na forex.. target yangu mbeleni ku deal na soko la gold tuu
 
Uje unikande kichwa??? We sikuamini kabisaa utanizidishia ugonjwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kiduchuu tu ka kichwaaa ๐Ÿ˜… ๐Ÿ˜…
Pole kwa maumivu. tumia maji lala ukiamka hutosikia maumivu tena
 
Mimi nilikua nachukulia utani mbona pacha, sema kuna watu walijua tuko serious ndiomana mtu chake nilimwambia huyo tunataniana tunajuana!! Lkn nikaona wapambe wengi wanaforce iwe ukweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi mzuka, acha leo Nika jaribu bangi๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜„๐Ÿค’
 
Chura nimtoe wapi ndugu yangu mi flat nimepigwa pasi a.k.a nimedondokea bafuni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nimebarikiwa karangi tyuu ka kuonekana kwenye camera
basi flat tumbo tulione.. tukiondoa tu rangiii umekwishaaa ๐Ÿ˜… ๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ