Nililewa mapema nikapoteza network, nisamehe bureHuku toa code, nilipotoka wavuvi nikaenda boardroom
π π π π labda mtoto pisi kali ataona hurumaa.. maana nae ana noyo wa nyamaa huenda akamuonea hurumaNa soon tuta mzika x wakeπππ€£, Unique Flower on the beatπ€£π€
kama kauwaaa kama dawaaa πππ
Unique Flower uko wapi shost anguOya Lenie Maua saa sita hajamboππ€£π€
Nusra aue mtuππ€£πUnique Flower uko wapi shost angu
Wafe tu ππ, maana Nina Mwaka sijala nyama ya msibani πππ π π π labda mtoto pisi kali ataona hurumaa.. maana nae ana noyo wa nyamaa huenda akamuonea huruma
We mkiachana, ita kuwa sisu part 2ππWasikutag tag
Dah ko ngapi ngapiπ€£ππMnasomaga kila comments aisee
Muda mnao ππ
sitaki ma notification yao π πWasikutag tag
hatuachanagiWe mkiachana, ita kuwa sisu part 2ππ
kikubwa feedbackWakiachana au akiachwa?π€£
Tena huyo ataachwa humu humu selfika tukishuhudia
tatizo mmbishi toka mchana ungekuwa umekuja nikupige power.. ungekuwa mzima kabisa
Nyie jamaniπex wake kaamua kuwa mbogo.. π π
Huko alipo atunzwe na Mungu
ulisema leo .. nasubiri hapa ππ[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Weekend leo tunaomba selfies za kutosha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]