Selfika na JF: Snap it. Show it

Mm sijui englsh
 
Pacha kunani Tena[emoji849][emoji848], kumbe Kuna kypendana Humu[emoji849][emoji23]

Nimekasirika hivi mtu unatoa wapi ujasiri wa kuchukua pic isiyokuhusu afu unamtumia piem mtu asiyekuhusu ili iwe nini?? Watu maku vibuyu kabisa!!!!

Sasa km anamtaka Kantri ndio ajitongozeshe kwa pic yangu?? Si atume sura lake au hajiamini kimeo!!! Woiiiih

Mata ko juu juu km vigoma vya wanga mbio piem ya mwanaume km sio kutafuta KUTATULIWA nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…