National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,173
- 56,213
π π ile code 9393 haina jipyaa wala nini.. kujichosha kama nimekimbiza upepoOmmy dimpoz katoa nyimbo mbaya sna
sana, tulale sasa badae supu ya pwezaKweli?
π π π nakuonaTafuta za base au jbl mzeeπ€
π€£π€£ Airpods ziko njema bana. Zimeku disappoint nini?View attachment 2722158
AirPods and samsung buds are overrated [emoji41][emoji41]
Nime fanyaje tena mzeiya National Anthem π€£ππ π π nakuona
ππππSamalekoooooooo sis!!
Jana nilipitwaaa sis irudiwee irudiwee!!ππ
πππUmenifurahishaWee,mi hapana Kwa kweli........
Mta kuja kufaππ€£π€£sana, tulale sasa badae supu ya pweza
Tafuta za base au jbl mzee[emoji855]
Mkuu labda una shidavya masikio Sasa, Kama vipi Chukua earphone za jbl- ukibisha na hapo wakuzike tuππ€£Nazo ni overated
[emoji1787][emoji1787] Airpods ziko njema bana. Zimeku disappoint nini?
Mkuu labda una shidavya masikio Sasa, Kama vipi Chukua earphone za jbl- ukibisha na hapo wakuzike tu[emoji23][emoji1787]
πππ kwanini?π π ile code 9393 haina jipyaa wala nini.. kujichosha kama nimekimbiza upepo
Upate og, uta enjoy Sana.Nikipata muda ntarudi nikazitafute hzo jbl
Upate og, uta enjoy Sana.
[emoji117]Kuna rafiki yangu Ali nunua pods za jbl-, akapata na ear phone zake ni [emoji91]
hakuna kitu.. π€§π€§πππ kwanini?
usingizi hauji, ila macho mazito kinoma dah! na wife nishakuta kaenda kanisa.. hata angenibembeleza nilaleMta kuja kufaππ€£π€£
Ko ulikesha nje na miche π€£ππ, halafu ye ndo aje kukubembelezaπ€£ππ.usingizi hauji, ila macho mazito kinoma dah! na wife nishakuta kaenda kanisa.. hata angenibembeleza nilale