Selfika na JF: Snap it. Show it

Jamani huu Uzi umerudi hauna ile amsha amsha km mwanzo
Mods ,mli inturupt sshv kitakuwa kijiwe Cha story tu😏
Si utupie picha tuone 🀣🀣🀣
Tatizo ss hivi haitanoga wamewazoea si mnakutana nao mcity…!!! Inakuwa hakuna jipyaaaa 🀣🀣🀣
πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ Ila mi ntapigwa mjue
 
Naona kabisa unatafutwa kupigwa
Sisaidii mtu Mimi🀣🀣🀣

Kwahiyo ambao hatujakutana mcity ruksa kutuliaπŸƒπŸƒπŸ˜…πŸ˜·
 

Attachments

  • 19672793.jpg
    34.5 KB · Views: 15
Naona kabisa unatafutwa kupigwa
Sisaidii mtu Mimi🀣🀣🀣
🀣🀣🀣🀣🀣 Kwani uongo??
Humu unazoeleka mpk ukituma picha umesimama vibaya unauulizwa mbona leo hips halionekani..?? Au dimples hatuzioni?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Au mbona km wowowo sio lako.!!! Umejijaradia na kigodoro nini..?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜…πŸ˜·πŸ€ͺ Mi simoπŸ€—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…