Sijui itakuwaje maana usipolewa kama umelewaππWii km wii π€£π€£π€£
Nishaanza kulewa wahi
Vipicha vizuri
Mbona haiplay udugu πππImeisha hiooo sema jingineee
π€£π€£π€£π€£ Yani wote wananisikiliza mimi muda huuSijui itakuwaje maana usipolewa kama umelewaππ
Umeanza kuwaita wenzio matajiri ππππ€£π€£π€£π€£ Yani wote wananisikiliza mimi muda huu
π€£π€£π€£π€£π€£ Hapo kwenye siri lazima niisingizie pombe.!!Umeanza kuwaita wenzio matajiri πππ
Usianze tu kutoa Siri za watuππ
πππSiri za watu zipo matatani πππ€£π€£π€£π€£π€£ Hapo kwenye siri lazima niisingizie pombe.!!
Kila ninyemtazama ananionyesha jicho la βOle wakoβ π
Yani nawaonea huruma π€£π€£π€£πππSiri za watu zipo matatani ππ
Shemeji yangu ni kijana wa duka?Kijana yupi.?? Yule wa dukani? π€£π€£π€£
Weee unataka ya kuplay weeee!ππππ! Hebu weka inayoplay nione inakuaje hata!Mbona haiplay udugu πππ
Shemeji gani tena.??Shemeji yangu ni kijana wa duka?
Udugu km yangu bhana πππWeee unataka ya kuplay weeee!ππππ! Hebu weka inayoplay nione inakuaje hata!
Nakaziaπ€£Umependa ka picha au umempenda rabbitus π niweke moyoni sio wallpaper for phone.
Waione kwenye faili
cocastic, Mahondaw, Tayana-wog, Countrywide
Kumbe ile ulicheza kabisa doh! Sijaona Hebu niwekee tena nifurahie unavoyarudi kwanii!Udugu km yangu bhana πππ
Nataka nione hips linavyo shake shake
π€£π€£π€£π€£ Ile ilikuwa video uduguKumbe ile ulicheza kabisa doh! Sijaona Hebu niwekee tena nifurahie unavoyarudi kwanii!
! Hips nitoe wapii mii Hivi huelewi eeh hahahaha π€ π€ π€ π€ !
Shindwaaaaa π€£π€£π€£Nakaziaπ€£
Kweli walai!π€£π€£π€£π€£ Ile ilikuwa video udugu
Uliiona sana sema unafanya kusudi mfyuu π
Haya weka video nione wowowo πππKweli walai!