Usiondoke nisafishe macho kwanzaπππππNingoje nin
Mimi napenda sana cake!!
Unatengeneza za nazi?
Asante ccyπππππWeee sis umenenepa umejaaa umekua na kashepu katraaammmmππππππβ₯οΈ!
Pendeza sana sis!
πππ Ww bwana unaye unammiliki sijui kwann hutulii mahi wangu??!Umesahau na kumgombania Jack na ulivomuambukiza ukimwi Countiri Shahidi
Pinkman
ππππππWeeeeh thubutuπππUsiondoke nisafishe macho kwanzaππ
Bora umerudi uduguu πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas mie napenda hizi heka heka. Hapa roho kwatuuuu.
Huyu Jack lect ana kismati, maan mmmh
Birthday yangu ni....ya mwaka nimeassume unajua hesabu.Birthday yako lini kuruta nikusurprise na moja....
Dakika sifuri sis napita kama nilivoooooooooooSitoki ccy
Huyo mvaa vinjunga atakuchosha, labda avae kijora kwa juu kuficha kinjunga chake πππTupia nione ulivyovaa ili nijue tunaenda wapi π
πππππ ndio wamo woteeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo mtafanya uzi ufungwe, na ushoga tena huko ndaniii
Kushakuchaaa sasa.
Shemeji unamuacha ajipige pic mwenyewe kweli?? ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna mabwakuuuu
Hi Lamomy unamjua cute wife?Bora umerudi uduguu πππ
Huyo tunajuana shem πππNgadu tenaπ€£π€£
Birthday yangu ni .... ya mwaka nimeassume unajua hesabu.
Upo vizuri!
Akae Kwa kutuliaπDr Janabi anakutafuta...
ππππ kwamba siku zote hujui mi ndio nilikuwa cute wife??? Ile username kuna mtu alichukua ss hivi, anajiita hivo, baada ya mods kuomba waifute sababu ya hekaheka za waja.Hi Lamomy unamjua cute wife?
Akili zake na zako ni sawa
Akianza kuandika ni tililiiiiliiiiiiiiiii kama ww.
Em selfika kwanza mamie.