Selfika na JF: Snap it. Show it

Ana sifa za uwife matirio hadi zimezidi

Hizi sifa tunazo wawili tu
Tofauti yetu Mimi sina tu hela.
Anakujaza mi pesa nitoe wapi?? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Km huna pesa ukweni utateseka Anna, utaambiwa uoshe vyomboโ€ฆ.
Lkn ukiwa na pesa ukishika sabuni tu mama mkwe anasema, โ€œAcha mwanangu ataosha wifi yako hivyo vyombo kaa utulie, usije kurudi kwa mumeo umekondaโ€ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hapo ushawafanyia shopping la kibabe na kibunda cha kulipia mkopo wake wa kikoba umempaโ€ฆ.!!! Hapo hata akisikia mwanae ana mchepuko anakusaidia mkampe kichapo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
We wamama wa kitanzania kuwa na pesa na mfurahishe na pesa zako uone, kila akienda kanisani lazima akuweke kwenye maombi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Tunashukuru sana wewe na mkeo Lamomy kwa ushauri wenu hadi tumeanza maisha. Tuko Chunya kwenye mradi wetu wa Resolute. Tutarudi hivi punde๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kweli nimeona penzi limenoga, kwahiyo tayana kagoma kunisikiliza??
Haya mwambie akazane ila chumba chake tumepangisha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ