π€£π€£π€£π€£π€£ππ Niliyechafuka minyota yangu beganiUkute Hadi mods wenyewe walikuwa bored Uzi umepooza wakaona wamrudishe mkuu wa M23,si unajua mambo wanayopenda modsπ
Sio wewe ndio utamleta nami chino nikutane na baby za jfWeee kweli?? π€£π€£π€£π€£
Haya nasubiri anilete bina
Nimlete napajua unapoishi chino π€£π€£π€£Sio wewe ndio utamleta nami chino nikutane na baby za jf
Siyo salama hadi uweke selfie yako uliyoniahidiSalama lakini?
Balaaπππ€£π€£π€£π€£π€£ππ Niliyechafuka minyota yangu begani
Muda wa kucheka hautafikaAahh wapi tutakomaa na simba yetu mpaka ituue kwani wakati sisi tunachukua ubingwa Misimu minne mfululizo ninyi mlihamia huku, uzuri wa hizi timu zetu bhana mashabiki huwa tunapokezana muda wa kulia na kucheka, kwahiyo hata sisi muda wetu wa kucheka tena utafika tu ππ
Sio muda namuita Meja jenero wangu coca aje atoe salamu za vita mpya na kikosi kipi kitaanza kushambulia π€£π€£π€£π€£Balaaππ
Sasa tunafanyaje?Nimlete napajua unapoishi chino π€£π€£π€£
Njoo bonyokwa chino π€£π€£Sasa tunafanyaje?
Nikija mwenge unajificha
Nikija kariakoo na kukuta umeenda china
Hata yenu ilijifia hivi hivi mpaka ilipokuja kufufuliwa na Ghalib ππMuda wa kucheka hautafika
Timu ishajifia hiyo π
Yanga gari lishawakaHata yenu ilijifia hivi hivi mpaka ilipokuja kufufuliwa na Ghalib ππ
Ohoo kumbe haujasikia, Subirini msimu ujao, shangilieni vya mwisho mwisho ππYanga gari lishawaka
Simba wa kufufua hayupo π
Mo anaenda kuwabwaga mazimaππππOhoo kumbe haujasikia, Subirini msimu ujao, shangilieni vya mwisho mwisho ππ
Wooi tungekuwa tunaenda kutembeza bakuli si tungeendelea kumbembeleza Mo, au we unafikiri Mo anaondoka kwa kupenda, nyie tulieni hapo hapo wana simba msimu ujao tuna jambo letuMo anaenda kuwabwaga mazimaππππ
Timu inatupokea ubakuli FC
HeeWooi tungekuwa tunaenda kutembeza bakuli si tungeendelea kumbembeleza Mo, au we unafikiri Mo anaondoka kwa kupenda, nyie tulieni hapo hapo wana simba msimu ujao tuna jambo letu
Acheni kuchafua uzi....Hee
Kumbe tajiri kachoka anawabwaga kweli!?!
Kweli makolo hawabebekiππ
Dada mkubwaAcheni kuchafua uzi....