Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Dah Mimi Napenda zile amshaamsha...mara umetaka kuibiwa simu,mara umepigwa kipepsi ha haaaaUtulivu Joannah...
Huwezi kuta heka heka kama za Da'slam
Mzigua90 karibuView attachment 2974938Asantee
Asantee. Jana nilikua na water therapy ππππ
Hali ni shwariMlioko mjini hali ipoje
Saint Anne Kuna kuogolea au twende tu kirohombaya[emoji3]
Kweli kipenz πHali ni shwari
Kariakoo usipokaa sawaDah Mimi Napenda zile amshaamsha...mara umetaka kuibiwa simu,mara umepigwa kipepsi ha haaaa
ulifanya jambo la masna sanaπ π πAsantee. Jana nilikua na water therapy ππππ
π
π€£π€£π€£π€£Balaa zitoKariakoo usipokaa sawa
Unajikuta umezolewa kichwa na baiskeli ya Tenga la nyanya ππππ
Unajidai eti upo upande wako haupishi
Watu hawana habari,anapenya tu kichwani kwako na furushi lake
Maswali mengine jamaniπππA : Mapenzi ya kuthaminiana kwa vizawadiView attachment 2975133
B : Mapenzi ya pesa mbele
View attachment 2975134
A or B ?
Sasa wewe ni special case nakuongezea C : Equation XMaswali mengine jamaniπππ
π€£π€£π€£Hata uongeze Hadi Z,halafu irudi -A.....choice itaendelea kubaki B....with B I can buy chocolate I can also have Equation XSasa wewe ni special case nakuongezea C : Equation X
uchague A au B au C
Wapi kanisifia?π
Mkuu huyu ni wa Kasie Mahaba Matata? Bado anashusha engine? Yule mamsaap anajuaga kukusifia aisee au yanakuaga ma episode.. eti dadii kumbe yupo anaestahili haswaa
ππ jokes
Congrats
Mie siyo wa kukaa bila kuja kariakooπ€£π€£π€£π€£Balaa zito