Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Ukila mchana hivi sio shidaView attachment 2993180
Nimeambiwa Profesa Janabi bado yupo Likizo, Wacha nile ya mwisho mwisho kabla hajarudi π
Hello Saturday π₯
Ukisikia natural color ndio hii sasa
Natangaza utakuwa consultant wangu kwenye mambo ya Chakula na Lishe, nimechoka kula Kwa kumuogopa Profesa Janabi πUkila mchana hivi sio shida
HahahahahaNatangaza utakuwa consultant wangu kwenye mambo ya Chakula na Lishe, nimechoka kula Kwa kumuogopa Profesa Janabi π
Ulipo nipoNatangaza utakuwa consultant wangu kwenye mambo ya Chakula na Lishe, nimechoka kula Kwa kumuogopa Profesa Janabi π
Barikiwa Mkuu πUlipo nipo
π π πHahahahaha
Nipo tayar kubadil dini jf nzima hakuna mzuri kama ww
Natafuta hela nikutoroshe nikufiche geto una mwili mzuri wa kimapenz nakupeleka chumbani huku nakenua meno tu mwaaahππππβ€οΈ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Natafuta hela nikutoroshe nikufiche geto una mwili mzuri wa kimapenz nakupeleka chumbani huku nakenua meno tu mwaaahππππβ€οΈ
Sura ipo wapi?
Kwenye jua kalii hapo ππSura ipo wapi?
Unavyocheka tu sasa tukiwa chumbani nakumiminia makopa kopa tuπ€£π€£π€£π€£π€£π€£
HahahahahaNatafuta hela nikutoroshe nikufiche geto una mwili mzuri wa kimapenz nakupeleka chumbani huku nakenua meno tu mwaaahππππβ€οΈ
Mzee hio 1982 hizo message mlikuwa mnatumiana kwa kifaa kipi?View attachment 3003362
Nimejaribu kukumbuka kisa cha Mzee mwenzangu aliyeachwa na Mpenzi wake Mwaka 1982 π
Imagine ulikuwa ukinywa Maji unamwona kwenye glass
Hupati Usingizi usipopata meseji yake ya goodnight baby, hata kama meseji yenyewe unatumiwa saa 11 jioniπ
#Tafadhali nieleze nawezaje kuishi bila wewe
Wazee pia huachika π
Good morning π₯