Mkuu unatupia vyombo tuCheersπ₯View attachment 3041380
Do the needful hata damn lipsssssssss truuπππππ!
Sawa swwetheart...Do the needful hata damn lipsssssssss truuπππππ!
Najua hakuna maneno nitakayoweza kuyaandika hapa yanayoweza kuondoa huzuni na majonzi uliyonayo.
ππPolesana tuko pamoja
Mungu azid kukupa nguvu
πππNajua hakuna maneno nitakayoweza kuyaandika hapa yanayoweza kuondoa huzuni na majonzi uliyonayo.
Lakini unaweza kupata neno la Faraja lisemalo
"Naye atafuta kila chozi katika macho yao...." Ufunuo 21:4
Pole sana Mjukuu π
Pole sana tayana, Mungu ni mwema siku siku zote tunapaswa kumshukuru kwa yote hata yakiwa magumu kiasi gani, pole tena na tena.
ππPole sana tayana, Mungu ni mwema siku siku zote tunapaswa kumshukuru kwa yote hata yakiwa magumu kiasi gani, pole tena na tena.
Asante nawe pia.
Huyo samaki amenigopesha daah...
ππNi sangara ila paprika hiyo rangi yake sasaHuyo samaki amenigopesha daah...