Django Doer
JF-Expert Member
- Jun 30, 2023
- 2,865
- 5,184
Na wewe ukiwemo mke mwenzangu ππCountrywide njoo chukua suria lako mkuu hulinyonyi nn? πππ
Mi huyo wa pembeni, halafu nyie wake wenzangu ndio mpo kikundi huko mnaniletea yutiai sugu kwa mme wangu π€£π€£π€£
Hilo parody bana usinichoshe πΉπΉπΉInaonekana wewe ni mgeni humu mimi mbona nipo sikuzote na id hiiπ€
Ukija nae kibosho tawapokea Mangi mtanikuta hapa KageraMweleseee ma urassa ππ nimpandishe kule kibosho chapπ
Nzuriii umepotea sanaaNi poa kabisa rafiki. Za masiku??
Nipo kipenzi, siku hizi nimekua mvivu kucomment mara nyingi huwa nasoma tu napita.Nzuriii umepotea sanaa
Hayaa bibie nakusalimia tuNipo kipenzi, siku hizi nimekua mvivu kucomment mara nyingi huwa nasoma tu napita.
Wewe nawe mshenzi π€£π€£Hawakwenda Olympic hawa π
Vijana mkitumia hizo style haki ya nani kufikia umri wetu itakuwa kazi sana π
Woyooooo!! Fanya jambo wizo ππMy Wii Leo timu yngu imeshinda uje nikublessππ
Usimkazie hivo mwenzioooooo!Unajipigia promo tu!π kuna mtu unamtafuta ni nani?
Hongera! Kumbe wewe ni mtaalamu wa hizi kaziii
Namtania min ake nitakavyo sababu hakasirikiUsinijazie hivo mwenzioooooo!