Selfika na JF: Snap it. Show it

Kweli wanawake sie ni maua, kila moja linavutia kivyake ukiona hili utataka ulichume
Haha nimejitolea kuwa balozi wenu kuwatetea.

Mko vyedi;
Nadhani hawajai kukutana na nyinyi

Kusingekua na malalamiko hakika
Malalamiko hayawezi kuisha halafu wanawake tunabadilika kutokana na mazingira, kwwnye stress tunachuchuka vibaya mno, mfano ni enzi zile zari kapigwa tukio na dai, halafu mtizame saiv karudi kuwa msupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…