Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Huyo mtoto ni mwanafunzi wako?Mungu akutie nguvu na kuwapa faraja wewe na familia katika kipindi hiki kigumu unachopitia binti yangu wa kumlea!
Losing your mom a day before your graduation ceremony daaahhhπ
Ndio nakaa nae tangu akiwa std six now ako form 4Huyo mtoto ni mwanafunzi wako?
safi sana matendo ya huruma ni pamoja na kuwajali wasiojiweza.Ndio nakaa nae tangu akiwa std six now ako form 4
Hakika mkuu baraka nyingine tunazipata kupitia humohumo. Wako wawili imagine mmoja anasherekea graduu mwingine analia msiba dahhhh!!safi sana matendo ya huruma ni pamoja na kuwajali wasiojiweza.
Ooh real? Basi umekua π.. SijaendaπMimi mbona mpole tu, leo umeenda church?
Ukipata time nenda kaniombee ππOoh real? Basi umekua π.. Sijaendaπ
Bila shaka ndio unaniletea Uzi wangu og wa LiverpoolFootballing
Hope she is fine.
Yes realπ Kwahiyo wewe unaendaga wapiπ€Ooh real? Basi umekua π.. Sijaendaπ
Ushindi mwingiπUmetisha sana mkuu! Pamoja
ShambaniYes realπ Kwahiyo wewe unaendaga wapiπ€
Unalima nini shambaniπShambani