Morning.. umependeza na hio suti...Morning selfika
Santo sana kiongozi!Morning.. umependezana hio suti...
Mwenyekiti πMorning selfikaππ
Santo sana kiongozi!
Santo sana. Haya nawe do the needful π€³hii njaa ya kusubiria chai walai ipoe kidogo!
Forever and always katibuuπ€©Mwenyekiti π
Santo sana ...Watu na vifua nyenyuuuπ€©π€©π€©π€©!
Hapa asubuhi yangu imekua barreeeeeda kabisa
Wabheja sana
Hii imekaa aje?ππNyamwi255 Nataka kama hii, tafadhali ππππView attachment 3399286
tushazeeka mwenyekiti , mvi zinaunguza pichaππππ»Forever and always katibuu
Long time no see uuu
Fanya kitu kwanzaaa
Nimemiss π€³ zakoo
Umeanza siasa lini katib? πHebu tupia kwanza nione huo uzee!!tushazeeka mwenyekiti , mvi zinaunguza pichaππππ»
Picha ya mwili mzima tafadhali, nitajuaje kama kuna nyash π π
baMtu unapiga coffee na nini hapo pembeni ?Binti wa zamani nipo kwa maMtu hapa nakula maisha ya maandalizi ya mbingu ya 20View attachment 3399486
Na karanga mbeeechi maMtu π€£π€£baMtu unapiga coffee na nini hapo pembeni ?
baMtu unajiandaa na mechi gani na hujaniambia?Na karanga mbeeechi maMtu π€£π€£
Habibi habibi, Habibi taalbaMtu unajiandaa na mechi gani na hujaniambia?