Weka bachiii na wewe ππ€£π€£π€£ hapana kwa kweli
π watu wengi sana sahiiWeka bachiii na wewe π
Chanaaa nao we pita shwaaah..!! πΉπ watu wengi sana sahii
Andaeni sare harusi tunayo..! πΉ
Hapana siwezi kwa kweliChanaaa nao we pita shwaaah..!! πΉ
Loooh mahi we mbona umegoma kuweka π€£Yani we muongo sijaona khaaa!! πΉ
Em weka hao watu achana nao wa Bush hakuna hata mmoja anayekujuaβ¦!! π€£
Fikiria, hivi rangi ya mwaka ni ipi?Ngoja nianze kufikiria rangi nzuri ya sare
Hapo kwenye nakedπ ndipo napataka mimi, utanishitua tafadhali.Mi sio km upepo napita naked kabisaa..!! πΉ
Ila anza wewe kwanza mrembo..!!
Mtoto una balaa wewe πππLoooh mahi we mbona umegoma kuweka π€£
Weka nawe πHapana siwezi kwa kweli
Nyokooo wee utapofuka macho shauri yako..!! πΉπΉπΉHapo kwenye naked ndipo napataka mimi, utanishitua tafadhali.
Tulia wewe, kipi cha ajabu hapo, tunapelekea ulimi π , nini kupitisha jicho.Nyokooo wee utapofuka macho shauri yako..!! πΉπΉπΉ
Kwa kweli ngumuWeka nawe π
πΉπΉπΉ Naweka tulia kwanza..!!Loooh mahi we mbona umegoma kuweka π€£
Ngoja nifuatilieπFikiria, hivi rangi ya mwaka ni ipi?
Harusi za mwaka huu zote sijakanyaga naishia kuchangia, nasikia uvivu kwenda..!!
πukianza naweza kufikiria kupita kama upepoMi sio km upepo napita naked kabisaa..!! πΉ
Ila anza wewe kwanza mrembo..!!
Siyo kweli bhanaπΉπΉπΉ Naweka tulia kwanza..!!
Tatizo mi kabaya jamani mtanisimanga nikufweee bure..!!
Udongo huo huo ulioumbiwa wewe mahii mzuri mzuri π π₯°Mtoto una balaa wewe πππ
Nyie wenzetu mlifinyangwa kwa udongo gani?
Mbona lizuri hivi π₯° nyie ningekua na mkia wewe ungenikoma wallaq πΉπΉ