Hapo ni kwenda kuzitoa ATM tu jirani, mi mwenzio nimechalala sielewi ujue..!! ๐นAah Ile Ile ya Yas tajiriiiiii,.
Me nimemwaga pochi hapa naona mapicha picha Lamomy View attachment 3437282
Tumekubaliana ss hivi hakuna kula home wote tushakua tupambane maghetoni kwetu..!! ๐น๐นNa chapati na viazi vya mama Leejay๐๐
Hizo kadi ukiingia nazo ATM ๐ง unadhalilika ๐น๐น๐นHapo ni kwenda kuzitoa ATM tu jirani, mi mwenzio nimechalala sielewi ujue..!! ๐น
Me nimeshajitolea kuwa foster wao,. Nitawalea hadi wakizeekaTumekubaliana ss hivi hakuna kula home wote tushakua tupambane maghetoni kwetu..!! ๐น๐น
Sema umekabana sanaa,. Achia miguu hiyo unatunyia kuona nini??
We kajinga sana jicho lako limeenda wapi? ๐Sema umekabana sanaa,. Achia miguu hiyo unatunyia kuona nini??
Me jicho langu linaendaga tu sehemu husika basi๐๐We kajinga sana jicho lako limeenda wapi? ๐
Jana pochi yangu ilikua vizuri tu kabla sijatafuta sifa za kijinga kwenye live band ๐น๐นHizo kadi ukiingia nazo ATM ๐ง unadhalilika ๐น๐น๐น
Kwenye hizo zooote ukijumlisha haifiki hata laki
Mbona umewabana wajukuu sasa Mwachi ๐น๐น
Af una angalia kama una kengeza kumbe hunaMe jicho langu linaendaga tu sehemu husika basi๐๐
Kwanza hujawatuma wakuzae ๐น๐นMe nimeshajitolea kuwa foster wao,. Nitawalea hadi wakizeeka
Sihami labda wanifukuze ๐
Mnatoaga wapi pesa mm mbona sinaJana pochi yangu ilikua vizuri tu kabla sijatafuta sifa za kijinga kwenye live band ๐น๐น
Wanasumbua hawatulii ๐Mbona umewabana wajukuu sasa Mwachi ๐น๐น
Hela lazima zitumike๐นJana pochi yangu ilikua vizuri tu kabla sijatafuta sifa za kijinga kwenye live band ๐น๐น
Haha๐๐Af una angalia kama una kengeza kumbe huna
Cheka tuHaha๐๐
Ndio hapo sasa๐. Hawakuniuliza kama nataka kuja duniani au laah wao wakanileta tu me nifanyaje sasaKwanza hujawatuma wakuzae ๐น๐น
Hahahahaha ๐๐. Nicheke ninenepe mieCheka tu