Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Nimeenda hospital ya serika nimejuta wanajiona sana mpaka nimejitambulisha ndio wamenipa na kusema nije keshoWanasema heri nusu shari kuliko shari kamili
Mtaji wa kwanza Kwa sisi masikini huwa ni afya
Hope ushatoka hapo zamanii. LolNipo mgahawa wa Waturuki hapa tulipokuwa tunakusanya mchango wa Kampeni wa Mama Jana ๐ค
Naelewa basi?๐คฃchicken stew gani hii?
Kitambo nilitoka MjukuuHope ushatoka hapo zamanii. Lol
Jitahidi uzipate ndani ya masaa 72Nimeenda hospital ya serika nimejuta wanajiona sana mpaka nimejitambulisha ndio wamenipa na kusema nije kesho
I got it to dayJitahidi uzipate ndani ya masaa 72
Hiii na hiyo pembeni ya bakuli Rangi ya pink Rose ni msosiMmekula๐ ๐ ?? View attachment 3442210
We unaonaje inaliwa au?Hiii na hiyo pembeni ya bakuli Rangi ya pink Rose ni msosi
๐๐๐Mmekula๐ ๐ ?? View attachment 3442210
Kabisa naona inaliwa hii kavu kavu AKA chuku chuku๐We unaonaje inaliwa au?
Aliyegundua mihogo aende mbinguni moja kwa moja aisee...Mmekula๐ ๐ ?? View attachment 3442210
Njoo uleKabisa naona inaliwa hii kavu kavu AKA chuku chuku๐
Kabisaaa๐ ๐Aliyegundua mihogo aende mbinguni moja kwa moja aisee...
Unakula ga?๐๐๐
MnoUnakula ga?