Achaa basi Ras π€Mtoto lipsππ
Hahaha pesa mbele kama tai π€£π€£Nimemuona π
Uzee mdogo wangu saivi muda mwingi nakua nalala. Imagine nahio nimepitwa tenaUnalala sana imagine nilipita naked
Ukipitwa imeisha hivyoHere kodo n standby π³π³π³ππππ
Sitaki kupitwa
Hahaha mimi ni rasii now nimenyoa tuWeee Rasta umeanza fuga lini????
Sipepesi hata kopeer π³πππππππππUkipitwa imeisha hivyo
Hahaha nipendwe tuπ π π πNapenda wanaume marastaπππππ€
Weee sema kweli????π€π€Hahaha mimi ni rasii now nimenyoa tu
Yani nawapenda mnooooooo. Kabla sijarrarra unikumbushe nikuoneshe mchuchu mmoko ni rasii mtraaammm kinoumaa ππππ€π€π€π€!Hahaha nipendwe tuπ π π π
Chevy Tahoe au Suburban? Ya mwaka gani hiyo? Early 2,000s?Ya mlevi najizawadia siku ya graduu yanguπ π
View attachment 3456599
Kaka wewe ni kibaka sanaπ π πChevy Tahoe au Suburban? Ya mwaka gani hiyo? Early 2,000s?
Hahaaaa ni kwamba tu hayo magari kila siku napishana nayo barabarani.Kaka wewe ni kibaka sanaπ π π
π bro , hii chuma nimeichukua spesheli ya wana jf tu , ina uzi wake bwashee π π π ngoja niifuteπ€£Hahaaaa no kwamba tu hayo magari kila siku napishana nayo barabarani.