Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,387
Hahaahhaa endelea kupitwa hivyo hivyo[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] what?? Heaven Sent alituma picha??
Wasalimie sana huko
Panaonekana pazuri japo picha kama imepigwa na the flash!
Nimetoka tu kidogo; lazima nirudi mashineni kwanguHey umeondoka huku??
Hahaahhaa endelea kupitwa hivyo hivyo
Ulikuwa wapi mpendwa πππ[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] what?? Heaven Sent alituma picha??
Alikuwa busy anakula ndizi na makatapelaUlikuwa wapi mpendwa πππ
Poleeee[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] daah
Nimetoka tu kidogo; lazima nirudi mashineni kwangu
πSijamaanisha imepigwa na flash bali 'the Flash'..No ni pazuri hata live,, haijapigwa kwa flash..
Ulikuwa wapi mpendwa [emoji1][emoji1][emoji1]
Alikuwa busy anakula ndizi na makatapela
Jinsi unavyotudanganya mpendwa siku utakayo weka nagawa buku kwa kila member.πππmi natuma mwisho wa huu mwezi
Poleeee
Rangi adimu kabarikiwa kwa kweliTatizo mihangaiko ndugu yangu
Maandishi ni picha πYani sijui hata nieke picha gani manake nishaweka picha tatu π
Pwani to katiUko pande zipi za nchi sasa
HeheheehehehheeeRangi adimu kabarikiwa kwa kweli
Hahha endelea kuwa hapa hapaUnanipaje pole kavu hivyo?? Do the needful please!!