ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Mambo mengi dearHaunenepi saana! Kwanini haupati muda?
Yes mi nalala sn tuUnalala mchana mm siwez ikitokea ni nadra sana
HahaqNjoo tulale huku๐
Kumbe basi sawa mi nimezaa tayali maa๐Yes mi nalala sn tu
1 yq kitu nakipenda
Nina rfk angu huwa anasemq lala tu ukija kuzaa ukiqnza kulea utaukumbuka huu muda๐คฃ
Ukiwepo nambie niweke shwaaaa๐pita saivi sameja wangu mwenye sura ya upole ila cha pombe๐๐ tupo wawili
nipo sameja fanya jambo chapUkiwepo nambie niweke shwaaaa๐
Leo NIANGALIE vizuri uone kama Mimi ni mlevi au mnywajii naweka picha soon
Tayar shwaaaanipo sameja fanya jambo chap
sameja wew ni muhandsome mnoooo ujue mwanzo,ulikuaga unapita upande upande ila leo wuuuuh๐ค๐ค
Tunaomba picha Yako pia long time imekua ๐sameja wew ni muhandsome mnoooo ujue mwanzo,ulikuaga unapita upande upande ila leo wuuuuh๐ค๐ค
unaomba wew na nani sameja๐คฃ๐คฃ๐คฃTunaomba picha Yako pia long time imekua
๐ Na kaka yupo humu kwenye thread kwani hamja salimiana..unaomba wew na nani sameja๐คฃ๐คฃ๐คฃ
umeanza kuzingua๐ naomba libaki jina pekeake tafadhari kila siku nakwambia ule ulikuaga utani ila hauelewi khaa๐ Na kaka yupo humu kwenye thread kwani hamja salimiana..
Sawa utani Mimi najua pia haaahaa ๐.umeanza kuzingua๐ naomba libaki jina pekeake tafadhari kila siku nakwambia ule ulikuaga utani ila hauelewi khaa
hapo sawa ila usiwe unaurudia urudia huo utani si ndio sameja wangu๐ค๐Sawa utani Mimi najua pia haaahaa ๐.
Ngoja nijichukulie Jimbo Mimi ๐
Rudia nilikua na kazi mkononiiiii rudiaaDr am 4 real PhD daktar nimepita
Si urudii tenaa..๐๐๐ nachukua jimboohapo sawa ila usiwe unaurudia urudia huo utani si ndio sameja wangu๐ค๐
ndo basi tena sameja labda mpka badae badae๐๐Rudia nilikua na kazi mkononiiiii rudiaa
nani kakwambia lipo wazi? mbona limechukuliwa mda tu jamani๐คญSi urudii tenaa..๐๐๐ nachukua jimboo