Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Oya mwacheni ndugu yangu, apumzike kwa amani๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น
Babu Migambuti jamani dah! Kitambo sana ๐น๐น
Uduguu umenikumbusha wayback enzi kichwa kipo moto. Team Antonia kindakindaki
Ila ile vita tuliipiga mpk babu Miga akasepa mazima..!!
Babu Miga kokote ulipo njoo sasa hivi tumekua mabinti wenye adabu. Tumekumiss wenzio
Nimekumbuka alivyokutafutia kazi afu kazi yenyewe hamna ๐น๐น๐น
Kichwa kina mambo mengi, niache kukaza kutafuta pesa nije kukaza nisiweke picha za humu?Kaza Mtoto wa kiume
Onhoo ni nzuri kwakweli, zinakufanya uonekane natural. muda wowote unakaribishwa dear ๐๐Natamani sanaa niwe na Rasii, nweiii nitakapokuwa tayari nitakufata unipe muongozo sahihi. [emoji120]
Kama kuwa mtulivu Ume shindwa, hizo rasi si utasema zina kunyonga?Natamani sanaa niwe na Rasii, nweiii nitakapokuwa tayari nitakufata unipe muongozo sahihi. [emoji120]
Ishu n kwamba Pic za wengine ww unazpost humu ww kama nani, h ndo point yangu.Kichwa kina mambo mengi, niache kukaza kutafuta pesa nije kukaza nisiweke picha za humu?
Ntajitahidii, Ila nikishindwa potelea mbaliโน๏ธ
Yaan sijategemea imekuwa ghafla sana ๐ฅฒ๐ญEwaaaah!!
Nitumie ๐ปNitapigwa ban pacha, ila nita kutumia usijali ๐
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
Babu Migambuti jamani dah! Kitambo sana [emoji81][emoji81]
Uduguu umenikumbusha wayback enzi kichwa kipo moto. Team Antonia kindakindaki
Ila ile vita tuliipiga mpk babu Miga akasepa mazima..!!
Babu Miga kokote ulipo njoo sasa hivi tumekua mabinti wenye adabu. Tumekumiss wenzio
Nimekumbuka alivyokutafutia kazi afu kazi yenyewe hamna [emoji81][emoji81][emoji81]
๐๐๐Kama kuwa mtulivu Ume shindwa, hizo rasi si utasema zina kunyonga?
Nikumbushe kukikucha, ili nioneNitumie ๐ป
Ntakuwekeaaa mahii uduguuu, afu uzuri yeye yuko anapitaa kimya kimyaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] Wala usigombane uduguu wangu muache atarudi mwenyewe..!!
Huyo R huna pic yake nimuone uduguu umemsifia sana.
Usiogope bana hata wakisave wanakujua?Sirudii tena naogopa wanasave ๐ฅฒ
Hamna chica hanaga mambo mengi bana ๐นHupendagi amani kabisa, full kulipuka uharibu
๐๐ Hapana acha niendelee kutojulikana tu nitapita siku nyingine kumetuliaUsiogope bana hata wakisave wanakujua?
Subhanalah, ushaanza kutingisha meza za watu ebooHamna chica hanaga mambo mengi bana ๐น
Poleee mahiiYaan sijategemea imekuwa ghafla sana ๐ฅฒ[emoji24]
Mcharuko huyo, kama vendeta kwenye dragon ball z๐๐๐
Mambo yataharibikajee? Kwani unashare bwana na mtu humu? Unatuma mpodido wako kwa watu PM? Km hufanyi hivyo walaa wee tembea kifua mbeleee.Mimi ni mpole siwezi hata kujielezea nisije anza kulia bure [emoji3][emoji1787].
Mambo ya Hekaheka mnayaweza nyie siku mambo yakiharibika nitawaita mnitetee
We dogo mbona unaanza mikwara tena?Ishu n kwamba Pic za wengine ww unazpost humu ww kama nani, h ndo point yangu.
Ahsantee sanaa, [emoji120][emoji120]Onhoo ni nzuri kwakweli, zinakufanya uonekane natural. muda wowote unakaribishwa dear [emoji7][emoji7]