Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa wenzako tunaoiga direct proportion na hatutambai wala nini😁
Mtapewa maini mapya mbinguni, pigeni vyombo πŸ˜…
Khaa ndio hujui kuna kusugua kikachubuka🀣
Eenhe we nenda kakisugue kama unang’arisha sufuria, maumivu yatakayofuatia nina uhakika hautarudia tena πŸ˜‚
 
Mtapewa maini mapya mbinguni, pigeni vyombo πŸ˜…
Mungu mwenyewe anaangalia moyo we unataka ukamringishie nani maini yako mapya mbinguniπŸ˜…
Eenhe we nenda kakisugue kama unang’arisha sufuria, maumivu yatakayofuatia baada ya hapo nina uhakika hautarudia tena πŸ˜‚
Hahahah nitameza pen v! Kwahiyo nikipake mafuta au sabuni🌚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…