Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii kumbes mko kimyaa mna zoom? Sisi tunajua tuko wenyewee tyuuh,
Aiiiih
nilikua nachungulia na kutoka, sas ile nimechungulia tena ndo nikakubamba๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… ashukuliwe Lee maana ye ndo kaomba marudio ๐Ÿค—
 
nilikua nachungulia na kutoka, sas ile nimechungulia tena ndo nikakubamba[emoji28][emoji28] ashukuliwe Lee maana ye ndo kaomba marudio [emoji847]
[emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiii ulikua unazengea zengea?? Woiiiiiih
 
[emoji23][emoji23][emoji23] napaliwa uduguu jamaniiiii.
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Unajua watu humu bendera fata upepo. Ogopa kurithi adui.
Mtu anagombana na wewe anataka na wengine wote wakuchukie kwa kuwalisha matango pori wenzake..!!

Sisi tupo na tutakuwepo anayerithi bifu anakaribishwa Ila isiwe media uchwara..!!
 
Kama hiyo ngozi ndio ya 28+ basi watoto wa Af2 wanatakiwa wachukue notes kwako

Maake glowing ni ya under 18๐Ÿ‘Œ๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚
Ngozi imeshout mpk raha ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ