Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 7,090
- 13,527
Yangu nitatuma ila sio sasa, nikianza kujpiga picha maswali yataanza kuwa mengiZamu yako selfika
Labella umeelewa?Yangu nitatuma ila sio sasa, nikianza kujpiga picha maswali yataanza kuwa mengi
πΉπΉπΉ Kuweka emoji kazi ujueOngezaa mrembo mkali π
Nimefuta Ila imebaki we angalia utaona.!!Kama umefuta picha hakuna ushahidi
Hakuna picha, nafuta comment piaNimefuta Ila imebaki we angalia utaona.!!
πΉπΉπΉπ π Ambition plus anasema mmefungu njia ya kufika ulipo ili nichukue hiyo rangi matata
Sema basi tujue kazi yake πΉπ π au basi
Mbona mimi sina na kufuli nimeweka jamani..!!humu kuna watu na watu wao π
Makufuli lazima
Weka bana au unamuogopa wifi ataanza kukuuliza tukikusifia? πΉπΉπΉYangu nitatuma ila sio sasa, nikianza kujpiga picha maswali yataanza kuwa mengi
πππΉπΉπΉ
Lini utatuma nijiandae kukuona?Labella umeelewa?
OkayHakuna picha, nafuta comment pia
πΉπΉπΉ Kumbe?
na fanyia sana, hadi mtu anatetemekaa kama tetemeko la ardhi na hizi zingine za ziada πππΉπΉπΉ Kumbe?
Na wewe unazifanyia hiyo kazi?
Kikubwa maisha yanasongaBinadamu utawaweza basi, wewe potezea..!!
Soon πLini utatuma nijiandae kukuona?
Line yetu ya Ttcl ziliisha?Bill yako mkuu majukumu yakoππ
Hizo za baadae ππLine yetu ya Ttcl ziliisha?
Ana Hela za akiba huwa anatunza yeye anakataajeπhebu aje kwanza alidhie ili nipate nguvu ya kuchagua π
Unakosea sasaπππΎHizo za baadae ππ