Nishapotezea ningetaka mbona ningewasha moto ๐น๐นSema m cash out, nyie fanyeni TSR kuendelezaaa.
Tupia tunafunga machoKuonekana
Ngoja nitafute, zitakuwepo za zamaniTupia tunafunga macho
Rangi muhimu ๐น๐น๐๐๐ BL mie sio Mnaa.
Ukweli ni huu hata wanaume wenyewe wanasema, 1St priority ni RANGI, hii haina ubishi, ukikosa hiyo ndio vinafata sasa takoo, guu, hips etc.
Ndio maana wenye Rangi ya mtume hawaangaliwi Tako wala shape,
Vyeusi mangala ndio wanakutana na hizo shengeshaaaa.
jamaniii RANGIIIII, ๐๐๐๐
Hapana,, black n white tuUmetumia Al๐
Marasta tunasemaje "amani itawale" potezea hayo mambo ya maugomvi mai!Wala sio ile issue ya wale wake wenza. Wale wana mabifu yao ya mboo sisi tulikuwa tunachangamsha kijiwe. Sema kuna kidudu mtu. Unajua vizuri sema km umeamua kuzuga fresh..!!
Unamjua aliyekujaza chuki za kishamba ukaanza kudemka..!!
Nilichukulia ule ukaribu wetu wa TSR nikapotezea..!!
๐น๐น๐น๐น Udugu niwaacheee..!!Kwani uongoo, Fa mchezo na Ku glow kwa Jiki na Dikompoza, mara paap mbagala kwa mbiku hii hapa, sio Rangi tatu tenaaa.
๐๐๐๐
Unafaidi mapicha weweKuonekana
Nimekutania tu! Pole kwa uzuri ulojaaliwaHapana,, black n white tu
Mbona unaanza kujihami? Wewe tupia ya zamani au ya sasa๐Ngoja nitafute, zitakuwepo za zamani
Rangi ni muhimu mno, anyway nisije ambiwa na Selikavu kuwa napenda nyeupe๐๐๐ BL mie sio Mnaa.
Ukweli ni huu hata wanaume wenyewe wanasema, 1St priority ni RANGI, hii haina ubishi, ukikosa hiyo ndio vinafata sasa takoo, guu, hips etc.
Ndio maana wenye Rangi ya mtume hawaangaliwi Tako wala shape,
Vyeusi mangala ndio wanakutana na hizo shengeshaaaa.
jamaniii RANGIIIII, ๐๐๐๐
Mama Starz kumbe ulitupia? ๐ฅ๐ Umenibamba
BL uko so msupuuuu, Hips na guu viko ๐ฅ๐ฅ
Halali Ba mjengo akeshe na wewe kila uchwaoo.
Noumaaa sanaaa!!!
Viva The Gunners ๐ฅDah viva arsenal ๐ฅ
Ukirudia wewe na mimi nitarudia ๐น ๐นNimepitwa mwanakwetu nilikuwa na wateja naomba rudia puliizzz ๐ฅ
Rudia chap arsenal ๐ฅViva The Gunners ๐ฅ
Na nimekuita kabisa,,, next timeMama Starz kumbe ulitupia? ๐ฅ
Yani wateja wamefanya nimepitwa kizembe hivi ๐น๐น
Em rudieni wote niwape maua yenu..!!
Rudia nimepitwa alooHahahaha!!!!! Tuliza mshono mpaka nilewe ndo ntaweka li picha la kishangazi kaona bia
Kabisaaa asitutanieUkirudia wewe na mimi nitarudia ๐น ๐น
Be free wewe sema..!! ๐นNataka kusema kitu ila naogopaq๐ซฃ