mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
hahaa rusha picha wewe uliyekazaJanja kaza kidogo, meno ka Umeweka filter
Tante mwanakwetu..!!Mashallah, yaliyomo yamo mwanakwetu π hatariii ππ₯
VARMmh hii michezo naijua mweeh! Siunakuaga mweupe mbona hapa mweusi
πΉπΉπΉ weeh!!Nimeona tracooo kubwa mnoo
kwa nilivyo gangster, server zinaweza goma ku upload aisee.hahaa rusha picha wewe uliyekaza
Sawa tu, najua unataka kunidhulumu. Baki na picha yako mkuu.Mmh hii michezo naijua mweeh! Siunakuaga mweupe mbona hapa mweusi
Mmmh! πView attachment 3602217wekeendπ
Mi kujiamini kawaida yangu si winga πΉπΉπΉHahahahaha. Asante we pia uko vizuri mnooo.
Naanza Kuona kwa nn unajiamini sana
Subutuuuuuu weeeπΉπΉπΉ weeh!!
Mi traco sina nimevaa kigodoro..!
Umeona?Tante mwanakwetu..!!
Nmeikosa mkuu nyota sina leo
Naomba kazi πMi kujiamini kawaida yangu si winga πΉπΉπΉ
Hakuna kazi ngumu km kumpanga mteja anunue kitu ambacho hajapanga kununua..!!
kaka mi hiyo rangi ina nimalizaga sana.Personality first mkuuπhayo mengine extra
Mbona ipoNmeikosa mkuu nyota sina leo
Basiii πππNmeikosa mkuu nyota sina leo
Sijaona umepita tayari? π₯Umeona?