ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Basi nitalegeza nipe location πSasa kazi itakushinda unapiga maboss πΉ
Mwenzio na uchizi wangu wote kwa wateja natulia wanipe maisha..!!
Acha chai zako π πMkuu una sura dekezi/baby face/emoji faceπ
Asante sweetieπUlivyokua kazuri sasa π π Mashallah kipenzi changu π₯π₯π₯°
πΉπΉπΉ Uduguu wangu mzoee tu!View attachment 3602221
Sikufikii wewe maji ya kwanza, niko nasubiri kichambo cha kukosa nuru π Coca kasema sisi vyeusi mangala ni machaguo ya pili huwa tunaonewa huruma tu ππ
Kajukuu kangu, anzeni tu kuniita bibi π
Ndio kusema ni katoto kakeπ«£πββοΈπββοΈπββοΈπΉπΉπΉ Uduguu wangu mzoee tu!
Wewe sio mweusi una rangi ya chenza bhana..!!
Huyo mjukuu wako wapi mfyuuu..!!
Unatufanya watoto sasa..!! Kwa uzee gani ulionao? πΉ
Mambo unayopenda hayo πΉNitachukua kozi ya mishangazi kwa Binti wa zamani hautakuwa na haja ya kunipa orientation.
Binti nafutaaaaMambo unayopenda hayo πΉ
Halafu nilijua utakuwa katoto sana kumbe kakubwa bhana unafaa kwa matumizi..!! πΉπΉ
Sawa kakaKaka naona umesha shiba, wacha kelele π
Asante sanaPoleeeee
Kweli mkuuπ Una kitu na utafika mbali.Acha chai zako π π
ππππ
Huko mbali ni wapiKweli mkuuπ Una kitu na utafika mbali.
Aloo sijui why naambiwa sifanani na maneno yangu ππππππ
Igweeeeeeeee
Una sura nzuri mashallah π€©
Umeolewa? Namuulizia kaka yangu apate jiko hili chap..!!
Sema sura yako haiendani na maandishi yako. Sura ya upole maneno sasa πΉπΉ
Wewe unatokea sherehe imeisha watu ndiyo tunakunja matent tuondoke, umechelewa leo watu kibao wameselfika humu.Hehehee kunanini jamani uwii nacheka huku naogopaπ€‘π€‘
leo dada nikuone dadaake
win-one nakudai
Binti wa zamani mamaake sijakuona kitamboπ₯±
π π πWewe unatokea sherehe imeisha watu ndiyo tunakunja matent tuondoke, umechelewa leo kila mtu kaselfika humu.
Kuna wadada na wakaka π₯ ππ½ acha tu!
Kama Kuna mkaka wa haja anayeeleweka namuomba chocho, hawa wadada wapite tu, apa tu nishalewa kimbwa nikikaa humu ntalimana block na wapumbavu bure!Wewe unatokea sherehe imeisha watu ndiyo tunakunja matent tuondoke, umechelewa leo watu kibao wameselfika humu.
Kuna wadada na wakaka π₯ ππ½ acha tu!
Nimeona aisee uko π₯Basi nitalegeza nipe location π
Tayali nisha selfika huko juu
Wewe unaamini ni mjukuu wake kweli? πΉπΉNdio kusema ni katoto kakeπ«£πββοΈπββοΈπββοΈ
Nimeona tayari kipenziBinti nafutaaaa