Selfika na JF: Snap it. Show it

Kama Kuna mkaka wa haja anayeeleweka namuomba chocho, hawa wadada wapite tu, apa tu nishalewa kimbwa nikikaa humu ntalimana bkock na wapumbavu bure!
Saa tisa hii ushalewa ๐Ÿ˜‚ kuna huyo mkaka anayecheka cheka kwenye reply zako, yuko njema ๐Ÿ”ฅ
Hebu njoo kwanza cheusi mangala mwenzetu๐Ÿคญ
 
Aloo sijui why naambiwa sifanani na maneno yangu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sasa ukisikia sauti utacheka hoii๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.
Mdomo wangu ni hapa nyuma ya keyboard live hamna kitu
Yani wewe ndo wale ukifanya kosa wakitaka kukuadhibu sura inawajibu tofauti..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Weka na sauti nione sauti ya kumtoa nyoka pangoni..!!
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Uduguu wangu mzoee tu!
Wewe sio mweusi una rangi ya chenza bhana..!!
Mie najifurahia mno hivi nilivyo, na ba mjengo ananipa confidence dunia nzima hakuna ๐Ÿ˜‚ ingekua siyo kuogopa hizi ajira za utumishi, hii sura yangu personal pia ningewamwagia hapa mnijadili ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Huyo mjukuu wako wapi mfyuuu..!!
Unatufanya watoto sasa..!! Kwa uzee gani ulionao? ๐Ÿ˜น
Mdogo wangu aliwahi kuzaa, mtoto wake naye kafikisha miaka 19 kazalisha, sasa tumekua mabibi.
Wakifanya tena JF get together, tutatia timu na wajukuu zetu!

 
Sijui kwanini sikua mini ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ