nani huyooo nikamkwide anisimulie π ππ π niotee kama mwenzako nanihii
Kmmk leo Naijaza sikioni!π³ndio kwan haujui kama bangi ni dawa ya sikio?π€
shiyeeeenz nimecheka mnoooo,, nitakuelekeza matumizi yake kama upo serious lakin,, sio kujaza jaza tu bintiπ€£π€£π€£Kmmk leo Naijaza sikioni!π³
Kumbe!π± basi unielekeze aisee kuna sikio moja silielewi elewi sijui limechoka kufanya kaziπ€¦π½ββοΈshiyeeeenz nimecheka mnoooo,, nitakuelekeza matumizi yake kama upo serious lakin,, sio kujaza jaza tu bintiπ€£π€£π€£
Haya changamka tuweke ndani π₯Leo nimemuona bn mdada naemuotaga.
nitakutumia,, nilitaka niitest kwanza nione kama inafanya kazi, ila iko vizuriiAii hebu nitumie nibadili hii housing, maana kama nimemwagiwa ujiπ¬mamaake umekuwa mcharoπ€
Awapiπ sifa zote kwakosenkiyuuu ila unanizidi kidogo ππ,,,
khaaaa yani huyu,, haujui kama mimi ni age go?π€£Haya changamka tuweke ndani π₯
unamuotaga mkiwa mnaniniπ€π π πLeo nimemuona bn mdada naemuotaga.
Shemeji Castle_Lite hivi uchezagi hii mitaa?
nooo bwana mi sitaki vya kuambiwa, nataka nijionee kwa macho yanguShesRise_1 ashawahi niona mwambie akusimulie win-one
πnooo bwana mi sitaki vya kuambiwa, nataka nijionee kwa macho yangu