Selfika na JF: Snap it. Show it

Kauli yako sio ngeni masikioni mwangu.. nishaambiwa sana hii kauli.. mtu anakuna anasema wewe, mambo yako na ulivyo TOFAUTI ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
Enzi nasoma walimu waliteseka sana. Linapigwa tukio mie naonekana nimo ila wanapinga sio kweli.
Mimi hata polisi tu hawakubali kama nimepiga mpiga debe iwe shule๐Ÿคฃ
 
Pic yako nimesave na ya Ambition nimesave. Nataka niwaweke kwenye album yangu wakaka wazuri wa mwaka wa mbele..!!

Yani km ndinga basi Maybach ๐Ÿ˜น
We wanaokuita shemeji wakae nawe kwa makini sana maana sio kwa chumvi hizi,
Nyie ndio mnakuwa mnatwambia shemeji huyu hapindui kwako, kumbe umetoka kumsindikiza kwa mwingine ๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ