Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 7,090
- 13,527
Umenyoa?๐๐น๐น๐น Najikuna
Afu unataka na sisi tupite naked?Unanichosha mfyuuu!!
Unaficha sura kama unauza bangi ๐Unanichosha mfyuuu!!
Acha uongo lamomy jmn๐น๐น๐น Basi sawa
Tusubiri majirani walale basi, nikujuavyo huchelewi kuliamsha mbele za watu ๐คชHaya tuzungmze basi๐คฃ
Kaweka tenaSijaona sheikh
Jamani ๐น๐นUmenyoa?๐
Hali mbaya babuu๐คฃ๐คฃTusubiri majirani walale basi, nikujuavyo huchelewi kuliamsha mbele za watu ๐คช
Ndio piteni nawasubiri ๐นAfu unataka na sisi tupite naked?
Hahahaha, Mtumishi bhana,wkt hapo juu umesema wale Tall na ha...ndio..Mungu aliyetuumba tofauti unamuonaje?
Wanawake %kubwa sshv hawaangalii kimo
Shauri yako
Kwahiyo mnataka watu waeke sura zao muanze kusema wewe si fulani ๐น๐น๐นUnaficha sura kama unauza bangi ๐
๐คฃ๐คฃHuyu ndio ananidai ile ishu, wengine mnanibambika
Shida we unajificha sana bana,Ndio piteni nawasubiri ๐น
Mbona sisi tunawekaKwahiyo mnataka watu waeke sura zao muanze kusema wewe si fulani ๐น๐น๐น
Ni nani sasa? ๐ณAcha uongo lamomy jmn
Sio wewe
Hivi humjui huyo๐คฃ๐คฃShida we unajificha sana bana,
Ngoja nitafute kwenye makabrasha ya zaman labda nitapata picha ya ujanani
Sina jipya
Lete hayo hayo ya zamanSina jipya