Selfika na JF: Snap it. Show it

🀣🀣🀣🀣 sawa acha niuze mama ntilie
 
🀣🀣🀣🀣 sawa acha niuze mama ntilie
Hata hiyo mama ntilie yako itangaze upate wateja..!!
Nowadays watu wavivu kuja kula huko mgahawani wanataka uwafanyie deriver, hapo ndio muda wa wewe kuchukua order km winga.
Andaa package nzuri pelekea wateja msosi maofisini na majumbani upige pesa..!!
 
Hapo najua ulikuwa huna la kumwambia,, sasa wa huko akiwa hivyo eti ashike dawa!!!Β‘ Hiiii
Unavyojua sasa kuwatetea watu wako, hata huruma kwa Wazee hakuna πŸ€ͺ
Me huko nakuelewa vizuri.
Wana mambo lakini si kama story zinavyosema.
Halafu mi nimezunguka sehemu nyingi Tanzania usukumani hakuna uchawi ila story ni nyingi
Wale sio watu wa mchezo mchezo kama unavyowaelezea hapa

Kwenye ile trip kama itakwepo nitakufunulia kitabu 🀭
 
Zimetangulizwa kijiji cha wapi? 🀣
Si kule uliponiambiaga 🀭
Mtu wa kuangalia wazee si kuna ma professional kabisa kwanini uchoshe wajukuu? Muda kama huu tunaenda hata paris huko sio kuniletea habari za kukuanika nje kila asubuhi akhaa!
Hahaha........kuwa na huruma na Wazee πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…