Unalala ili ugundue nini shem, hapa kulala ni asubuhi๐คฃDah, afadhali umenialika. Maana leo niko kinyonge sana. Nakuja Shem .
niandalie na chumba cha wagen kabisa. Ntalala huko leo.
Imekaa vzrNjoo usijali hata ukitaka kufikia kwangu haina shida ๐น
Husahau naweeHapo penyewe kipenzi.
Halafu nimekumbuka uliniambia utaniwekea Kisauti chako ๐ป
Karibu uje ufanyiwe massage na mchaichai ๐๐God forbid ๐
nina safari ya kwenda Mombasa ivi karibuni ntapita tusogozane kidogo
Thanks MandalaNimependa Avatar yako
Tulia mzee..๐Si kule uliponiambiaga ๐คญ
Hahaha........kuwa na huruma na Wazee ๐
Selfika sasaThanks Mandala
KudadekiKaribu uje ufanyiwe massage na mchaichai ๐๐
KkooImeisha hiyo,ofc kariakoo au sinza?
Bei iwe nzuri
๐น Asije tu na mikunguni ya mkoani..!!Imekaa vzr
Naanzaje ๐นHusahau nawee
Leo uliweka deal gani mezani? Umeanza ubabaifu mapema..!! ๐นPicha ipi?
Hahahaha,hawezi, ila hii OFA hata Mimi nimeitamani๐น Asije tu na mikunguni ya mkoani..!!
Acha basiNaanzaje ๐น
Wewe sasa unanitengenezea vipengele, umeni tag kama makubaliano yetu?Leo uliweka deal gani mezani? Umeanza ubabaifu mapema..!! ๐น
Umenikumbusha kuna ijumaa moja miez kama 3 nyuma. Tulizunguka bar 4. Kuja kushtuka saa 10 alfajiri. Tuko Washkaj wanne na mafame wawili.Unalala ili ugundue nini shem, hapa kulala ni asubuhi๐คฃ
Unaweza kuja na sis Joannah haina shida nitawapa room yenu..!!Hahahaha,hawezi, ila hii OFA hata Mimi nimeitamani
Ndio ๐Kudadeki
Ukija Uzi mpya wa hivi nitaselfika chap ๐Selfika sasa