Selfika na JF: Snap it. Show it

Najionea mauzauza watu kukukazania mwanaume wakati pisi kali. Kisa unatetea upinde unaonekana mmoja wao..!! Tatizo hawakujui ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Mahii Watu wananijua kuliko wewee, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sasa mie niko wazi wazi, wao wanajificha, wanaogopa nini?? Mtu Ujiaminiii bhanaa.
Aloooh.
KUJIAMINIII hoyeeeee!! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Raha ya tako liendane na mwili buanaaa ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Haya post traco lako tuone nyoko weeh
Unashinda kufanya diet upate mwili km huu na huupati ngโ€™oo pawa mabula ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Humu picha zangu nimeweka sana mwaka juzi, wote wananijua sina tako nimepigwa pasi, juu mnene chini mwembamba.

Kwanini unatupa mafumbo kuna shida gani?
Sifa za kidoti ulizomwaga jana bwana ******* wamepita nazo na hata hawajaona kitu! Mbongo mpe heading ndio kakusanya kamati hapo naona anawasimlia jinsi kilivyo fake๐Ÿ˜
 
Ahsantee kwa Elimu na ujuzi huu. ๐Ÿ‘๐Ÿ‘
 
Bora umetusanua maana kuna watu wana kibarua kigumu humu sijaona!๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
 
Humu leo humu woiiiiiiiiiiii๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ