ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Hakuna hiyooooMimi ni KK Security napita humu ...ambaye hajalala alale π
Hatutakiiii, πππUdugu wenu mwisho saa sita π
Cocastic rusha picha tuone.Hatutakiiii, πππ
Wee yako sijabahatika kuifuma, em wekaa hapa na mie niwekee.Cocastic rusha picha tuone.
HahahahaUje peke yako mkeo unamuacha na nani? πΉ
Mje wote niwachomee nyama ya mbuzi weekend..!!
Nyiee πHakuna hiyoooo
πΉπΉπΉ Huu uzi sisi ndio tunaongoza kikosi vitani π₯ππππ uduguu, mie nacheka km mwehu hukuu.
Ntu 2 tunasimamisha Selfika, I'd mpya km zotee, fekeroo za kushato,
Najionea mauza uza hapaa, shengesha zenyewe hazina vibes wala ninii. Aaah.
πππ
Wewe mbishi sana kuweka picha umeshindikana kwenye uzi huu.Wee yako sijabahatika kuifuma, em wekaa hapa na mie niwekee.
ππππ jamanii sijakuzidi wewee, Aloooh.Wewe mbishi sana kuweka picha umeshindikana kwenye uzi huu.
Hamna mtanange hofu zenu tu πΉTupo hoi kuangalia mitanangeπ
Ndiyo manake, uje na mbinu zenu za mwaka 2000 sasa πNetwork haipatikani bila VPN dohπ’
Lala amani ipoNyiee π
Haya msigombane mimi nalala π
ππππ uduguu subirii mida wa Wangaa, ntapita naked.πΉπΉπΉ Huu uzi sisi ndio tunaongoza kikosi vitani π₯
Tukiuacha utapoa huu na hautakiwi kupoa..!!
Bado hajaonekana wa kuleta shengesha ni vituko tupu..!!
Mji Una mashartii mpaka ufanikiwe πΉπ
Sio kuvaa mashati ukajiona ndo wewe π€£
Mwanamke u beauty manukato unukie πΉ
Udugu do the needful nione rangi pure ya mtume
Sitaki mshamba anasema sura ya upole kama naimba kwaya mshenzi sana kijanaπ πHamna mtanange hofu zenu tu πΉ
Tupia basi ile sura ya upole.
ShemHahahaha
Kuanza kuimba na maikiiiiii masaa kibao sitakiiiNdiyo manake, uje na mbinu zenu za mwaka 2000 sasa π
HahahahaShem
Nimeshakunywa Ile juice yangu pendwaKuanza kuimba na maikiiiiii masaa kibao sitakiii
Achana naye. Tena uniwekee na kale kavoice ka ndege mnana π»Sitaki mshamba anasema sura ya upole kama naimba kwaya mshenzi sana kijanaπ π
Mungu nifundishe kunyamaza πNimeshakunywa Ile juice yangu pendwa
Hapa naweza kujikongoja network ikashika baada ya masaa 2 badala ya 5 π€ͺ