Selfika na JF: Snap it. Show it

win-one umeona maelekezo ya Ambition plus ?.

Ndio ya kufuata sasa.
Ila yeye kaziba jicho moja kama terminator. ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
sorry nilikua busy kidogo ila umenisema sana mwanetu khaaaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ basi narudia ya uchi mkubwa kama upo just temiii

Ambition plus irudiwe basi mkuu sijakuona
 
asante, Melo inabidi afanye namna hii picha kubaki haiko sawa, thatโ€™s means picha zinabaki kwenye server
Tunataka ibaki ili tuje kuona mishepu ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Yani mimi kila nikiingia hata km zimefutwa nazikuta zote..!!

Leo nimeona mpk ya ankal Mshana Jr kala kyuti na bado naiona mpk sasa..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
sorry nilikua busy kidogo ila umenisema sana mwanetu khaaaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ basi narudia ya uchi mkubwa kama upo just temiii

Ambition plus irudiwe basi mkuu sijakuona

Daah! Unanisingizia ndugu yangu.
Mm ni mgeni na Tayana-wog alishatoa maelekezo. Nikajua ndio sheria ya huu mtaa ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š.

basi yeye ndio kaniponza aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ