Nimechekaa km mwehuu, ๐๐๐Kwani ukinipa kuna shida gani maka ๐น
Ngoja nikupe story sasa..
X nilifungua parody nikajipa jina flani very unique. Sasa tukawa tunajibizana sana issue za politics Kumbe kuna mdada akajua mi mwanaume akaanza shobo mara arepost tweet zangu, likes nyingi..
Ikabidi nichungulie page yake nikakuta yupo vizuri ila mashauzi mengi. Nikaanza ku like na kumsifia..!!
Eeh..!! Kumbe kimefall bhana ๐น
Basi nakuta tag kwenye zile nyuzi za watu wanaovutiwa nao X na wanaume kule wananijaza โOyaa mwanetu maliza pisi imekuelewaโ Mi nakufa kucheka ๐น
Sasa kuna siku kazama dm anajichekesha basi nikatafuta desa langu la mtongozo kuna jamaa mmoja alikuwa ananiimbisha nikatambaa nalo. ๐น
Mdada anachekelea balaa, kila akinitengenezea mazingira ya kunipa namba nachomoa..!! (Najua alichokuwa anataka) Sa mi mkia nautoa wapi jamani..!!
Nikapotea kama mwezi kurudi nakuta dm nyingi za malalamiko kwanini simzingatii..!! ๐น
Kuna siku akanitumia pics zake ana night dress na kibikini kinaoenkana ๐ป๐น๐น
Nikamkumbuka hapa angekuwa shost yangu Dr. Mariposa asingechelewesha angempiga finger kwa muonekano ule..!!
Sasa bhana nilivyomsifia ikawa fungulia mbwa mpk mpodido natumiwa ๐น
poleee ila mi nimemuona kwa niaba yako๐๐Itoshe kusema sina bahati, mara mbili zote kapa
Ila asante, siku nyingine.
Ukirudia unitagTupia mkononi tu nirudie...
๐น๐น Wacha weeh.!!We acha nipate na staafu kamoja ka kukalea๐ ๐
Selfika basi shogileee aah mi sipendi๐
Heee,poleee ila mi nimemuona kwa niaba yako๐๐
Mbona kama ndio atajisikia safe...??๐คท๐พโโ๏ธimagine unamwambia mwanamke, Baadae tuonane, lakini mimi nitakuja na marafiki zangu kama 10... ataogopa
Rudia basi mkaka muhansamu JF nzima ๐ป
Akhaaa huachiiii ๐คฃ๐น๐น Wacha weeh.!!
Mi nashaselfika bado wewe tupia mrembo utetemeshe server..!!
Sawa uzuri mi nafaham photo zako๐คฃNitaselfika siku moja, mwanzo nilselfika sana tu
poleee next time sasa utamuona,, au akutumie huko kwenye kibox๐๐คญHeee,
Tatizo nina mambo mengi
Hahaha, inbox sitakipoleee next time sasa utamuona,, au akutumie huko kwenye kibox๐๐คญ
Umelala doro ๐น๐นNimeishiwa mipango, assist kama hizo mie naweza butua nje nikadhalilika.
Safi sana ,km unazifahamu Haina haja ya kuzirudiaSawa uzuri mi nafaham photo zako๐คฃ
We ushakiweka โ๐พ usikae mbali.Ukirudia unitag
Hongera sana kaka.
๐๐๐๐Unataka kupofuka macho? ๐น
Ngoja nitafute kaputula ya kuselfikia, siku hizi tunaselfika na kaptula nionyeshe kishundu mchachukoโฆ ๐น๐น
ku like sawa ila ku quote hapanaUnaniruhus ni like na ku I quote hiyo pic,๐
Wangu waje ๐น๐น๐น๐๐๐๐ ila uduguu jamanii, ko ufalme wa mahansamu ni wako, ko waje kwa wingi??
Alooooh