Nipo naugulia maumivu ya ugoko hapaaa sijadondoka sijateleza wala kujichoma ila hio sehemu inauma as if nimeteguka panauma balaaa itakua ninini??? Majeraha ya uzeeni yanataka yanipararaishe ama???๐น๐น๐น hapo sasa unanichamba..!!
Em weka bhasi hilo shape uduu ๐ป
Pole my King nilikuwa na kazi Leo hatari,hapa ndo napumzika na ki redds changu ๐ป๐บ. Uko poa
๐๐ Mguu mzuri uduguu..!!Nipo naugulia maumivu ya ugoko hapaaa sijadondoka sijateleza wala kujichoma ila hio sehemu inauma as if nimeteguka panauma balaaa itakua ninini??? Majeraha ya uzeeni yanataka yanipararaishe ama???
Hafu ukute wewe babu miga unatuchora hapa ๐น๐น๐นMigambuti hujaiona๐๐
Hiyo Kwa asilimia 80 itakuwa uric acid imezidi mwilini na inapelekea gout.Hapo tafuta Prednisone za buku na allopurinol uanze tiba .Acha nyama na pombe .Naongea Kwa uzoefu tu ( mimi sio daktari)Nipo naugulia maumivu ya ugoko hapaaa sijadondoka sijateleza wala kujichoma ila hio sehemu inauma as if nimeteguka panauma balaaa itakua ninini??? Majeraha ya uzeeni yanataka yanipararaishe ama???
Hapana hapo nipozungushia duara ndo panauma ghafla tu.๐๐ Mguu mzuri uduguu..!!
Hapo sioni au itakuwa mdudu kakutambaa?
Au unavaa viatu vya kutumbukiza kwa muda mrefu?
Wewe ndio ulikuwa unapenda sana kutumia hilo neno.Hafu ukute wewe babu miga unatuchora hapa ๐น๐น๐น
Hii issue ya migambuti mi ndo niliileta humu..!! ๐น
๐น๐น Tulikuwa na babu yetu humu anatupia migambuti km Paul Kagame..!!Wewe ndio ulikuwa unapenda sana kutumia hilo neno.
Aiseeeee!! Tena nyama saivi napenda balaaaa mbona hatariiii!Hiyo Kwa asilimia 80 itakuwa uric acid imezidi mwilini na inapelekea gout.Hapo tafuta Prednisone za buku na allopurinol uanze tiba .Acha nyama na pombe .Naongea Kwa uzoefu tu ( mimi sio daktari)
Kumbe tuna madokta na hamsemi ๐Hiyo Kwa asilimia 80 itakuwa uric acid imezidi mwilini na inapelekea gout.Hapo tafuta Prednisone za buku na allopurinol uanze tiba .Acha nyama na pombe .Naongea Kwa uzoefu tu ( mimi sio daktari)
Mimi sio daktari ila hio shida inanitesa mara ya kwanza namimi nilihisi nimevunjika mpaka nikanunua dawa za kuchua kumbe ndio hio miuric acid.Kumbe tuna madokta na hamsemi ๐
Em nitajie dawa nzuri ya ulcers
Inauma balaa unaweza kusema umevunjika anza dawa na maji mengiiii sana.Minyama kaa nayo mbali na mipombe.Mi mwaka wa tatu huu inakuja inapotea ila maumivu yakeee usiombe.Aiseeeee!! Tena nyama saivi napenda balaaaa mbona hatariiii!
Wacha niwahi tiba mapema asante sana
Oohh..!! Sasa mi ninavyopenda nyama sijui itakuwaje..!!Mimi sio daktari ila hio shida inanitesa mara ya kwanza namimi nilihisi nimevunjika mpaka nikanunua dawa za kuchua kumbe ndio hio miuric acid.
Mbona wamasai wanadunda tu.Ila mimi niliambiwa nyama ,mipombe,karanga mbichi,michainizi nikae nayo mbali.Ila Kuna watu wanakula minyama na kunywa mipombe hata hawaumwi.Matabibu ndio wanamjua Aisee .Oohh..!! Sasa mi ninavyopenda nyama sijui itakuwaje..!!
Pombe sinywii ila nyama nikama nimekuwa addicted nayo saiii last year nimekula sana ilitokea ujauzito ukapenda sana nyama alooooo hata saa 8 9 kumi usiku nlikua naamka nakula imeendelea ivoivo . Ngoja nipunguzeInauma balaa unaweza kusema umevunjika anza dawa na maji mengiiii sana.Minyama kaa nayo mbali na mipombe.Mi mwaka wa tatu huu inakuja inapotea ila maumivu yakeee usiombe.
Hadi chainizi duhhh!! Mie na kulima nazilima ndo mboga yangu kuu ya majani mbona balaa sasaMbona wamasai wanadunda tu.Ila mimi niliambiwa nyama ,mipombe,karanga mbichi,michainizi nikae nayo mbali.Ila Kuna watu wanakula minyama na kunywa mipombe hata hawaumwi.Matabibu ndio wanamjua Aisee .
Utasema tu na maumivu huwa yanahama tu mara mguu wa kulia kwenye goti mara kushoto kwenye dole gumba.Ila nakuhakikishia utayafata masharti yote na dawa utazitafuta.Maumivu yatakunyooosha.Pole.Hadi chainizi duhhh!! Mie na kulima nazilima ndo mboga yangu kuu ya majani mbona balaa duhhh
Wacha nijikontrol asee ni hatari kwa afyaUtasema tu na maumivu huwa yanahama tu mara mguu wa kulia kwenye goti mara kushoto kwenye dole gumba.Ila nakuhakikishia utayafata masharti yote na dawa utazitafuta.Maumivu yatakunyooosha.Pole.