Notification ndo naiwazia hapa π€£Nimekuotea tu leo sina mchezo!π
Komwe ndio sahau utaambulia vidoleπSuprise kidogo...ingawa sijawahi kukuotea, nitakuwa Security guard mahiri nikuone hata komwe π€£
Nimeona ipo siku isiyokuwa na jina my dear ndo surprise itakuwa nzuri, basi ulivyo nimention nikajua mzigo ushatumwa π€£π€£Umeona huo mfano ERTUGRUL BEY? Haya changamka tupumzike sasa!π
Unaiwaza tena!πNotification ndo naiwazia hapa π€£
Bwashee kumbe umoo πWanangu wote wamenyooka , hapa bar kuna demu kanunua pombe ila anataka tucheze , niweka kamkono kispoti tu anakata uno pa paka mwizi π
Toto lina tako moja laini nimekua mpole manyang'odeKama kanunua kuwa mpole tu muachie ajivinjari usiweke mkono utamuudhiπ
Bwashee mimi sio falaπBwashee kumbe umoo π
Ohoo usingeuwahi! Sasa mbona unakuja na maneno tu? Siku isiyokuwa na jina si ndio nitapitwa sasaπ€Nimeona ipo siku isiyokuwa na jina my dear ndo surprise itakuwa nzuri, basi ulivyo nimention nikajua mzigo ushatumwa π€£π€£
Chochote ila kiwe part and parcel ya komwe π€£Komwe ndio sahau utaambulia vidoleπ
π€£π€£π€£Bwashee mimi sio falaπ
Ntakutag wala usiwazeOhoo usingeuwahi! Sasa mbona unakuja na maneno tu? Siku isiyokuwa na jina si ndio nitapitwa sasaπ€
Ni ya namna gani kwamba mtu kapost selfika...au notification ni kukodolea uzi hata pee huendi π€£π€£Unaiwaza tena!π
Bwashee nakula bia na leo wafanya kazi wangu wote wamekula bia ππ€£π€£π€£
Nimecheka ile kimangi mangi π€£π€£
Fanya yako ba mnyongode!Toto lina tako moja laini nimekua mpole manyang'ode
Mimi tena πFanya yako ba mnyongode!
View attachment 3607937
Hmm hii ngumu hiiπ€£βοΈπ€Έπ½ββοΈChochote ila kiwe part and parcel ya komwe π€£
Mwendo wa "be careful tomorrow is monday" huku unabeua π€£Bwashee nakula bia na leo wafanya kazi wangu wote wamekula bia π
Mimi mtu akinitag ndio naona! Sijui sasa wewe unapataje notf zako!Ni ya namna gani kwamba mtu kapost selfika...au notification ni kukodolea uzi hata pee huendi π€£π€£
Hahaha Monday ipo kwenu bwashee, kesho nazimua na pombe πMwendo wa "be careful tomorrow is monday" huku unabeua π€£
Hapo sawa mkuuMimi mtu akinitag ndio naona! Sijui sasa wewe unaoata notf zako!