Zimechukua miaka mingapi kufika hapo๐๐Njoo nikuuzie hizi ๐๐
Na kwako pia mkuuHahaha sawa kabisa, usiku mwema Mkuu
Miaka 6Zimechukua miaka mingapi kufika hapo๐๐
๐๐Na kwako pia mkuu
Damn.... kesho naenda kunyoa ๐๐Miaka 6
Endelea kutupia basi ๐
Nibariki kwanza mkuu๐ usiku uende vizuri mpira ushatuharibia mood๐Endelea kutupia basi ๐
Unamshabikia nani??Nibariki kwanza mkuu๐ usiku uende vizuri mpira ushatuharibia mood๐
Nilikua nawasupport Ivory coast leo kwa nguvu zote ๐Unamshabikia nani??
Uongo kabisa huo maana that day Sir God alipumzika!!๐๐Girl Poet nimeipenda hii code๐
Nikupe maua yako mkuu upo vizuri Nadhani nyinyi ndo wale kadhaa mlitengenezwa jumapili Alfajir๐ฅ๐
Ukisoma maandiko ya zamani yale inasemekena watu kama wewe waliumbwa jumapili siku Mungu ametulia hana stress aman teleUongo kabisa huo maana that day Sir God alipumzika!!๐๐
Shukran mkuu pole Ivory Coast sio watu ni ntu๐ShesRise_1 mkuu๐๐nakusalim
๐๐Ukisoma maandiko ya zamani yale inasemekena watu kama wewe waliumbwa jumapili siku Mungu ametulia hana stress aman tele
Dah nipo naendelea kupoa taratibuShukran mkuu pole Ivory Coast sio watu ni ntu๐
Wachambuzi wa mambo ya kale hao wamekuja na theory zao๐๐๐๐
Naomba mstari nijihakikishie!!
Hamia Morocco maumivu utayasahauDah nipo naendelea kupoa taratibu
Unakalibishwa kuongeza pain killers๐
Me ni team Senegal ila Africa na support team zote zikicheza hata hawa washenzi wa SAHamia Morocco maumivu utayasahau