βΊοΈWachambuzi wa mambo ya kale hao wamekuja na theory zaoππ
Pia soma wimbo ulio bora 1:10π
Sahihi afikishe 1000ππsio kwa maneno hayoβΊοΈ
ππΎππΎ Kwako na kwa Mfalme π
π― π―Sahihi afikishe 1000ππsio kwa maneno hayo
Safiii uzalendoMe ni team Senegal ila Africa na support team zote zikicheza hata hawa washenzi wa SA
Sentence yako ni tata mkuuπ― π―
Aliutumia ulimi wake vizuri sana!!
Uzalendo kwanza...Safiii uzalendo
I meant maneno bana...Sentence yako ni tata mkuu
Nimepata maana mbiliI meant maneno bana...
Ondoa akili huko kwenye utata!!π
Hujanichoka aiseeUzalendo kwanza...
Hizo baraka utatuletea muda ganiπ
Eti anawatapeli wadada wa watu π€£π€£Nimepata maana mbili
Kutumia ulimi vizur kumaanisha alikua ana maneno mazuri
Ya pili kutumia ulimi Vizuri kumaanisha Mwongo/ mdanganyifu au tapel..
Sasa nikashindwa kuelewa kuwa alikua ana watapel wadada wa watu auππ
Naanzia wap kufanya ukatili wa hivyo??Hujanichoka aisee
Buku unaichukuliaje mkuu hata akiamua kulala kwa mmoja per day atatumia karibia miaka mitatu kuwamaliza wote ππEti anawatapeli wadada wa watu π€£π€£
Pengine he was both...
Ila kwa sasa tumpe π ya maneno mazuri maana Hilo ndo tuna uhakika nalo π― π«
Moyo wake ulikua unatosha kuwaweka wote πBuku unaichukuliaje mkuu hata akiamua kulala kwa mmoja per day atatumia karibia miaka mitatu kuwamaliza wote ππ
Kunyoa tena?? Sasa utakuwaje Ras na UparaDamn.... kesho naenda kunyoa ππ
ππWatu bukuππivi unaweza wakumbuka wote kwelMoyo wake ulikua unatosha kuwaweka wote π
Inawezekana yeye ndo aliamzisha ume msemo wa There's enough love for everyone!π€·πΎββοΈ
Miaka sita mingi sanaπKunyoa tena?? Sasa utakuwaje Ras na Upara
Watu wazamani hawakua na mambo mengi ya kuwa-distract kama kina sisi ujue.ππWatu bukuππivi unaweza wakumbuka wote kwel
Ndiyo hivyo zipo MgongoniMiaka sita mingi sanaπ
Tuseme hivyo labda πila bado ni ngumu kumeza...Watu wazamani hawakua na mambo mengi ya kuwa-distract kama kina sisi ujue.