ila wakishua hamna cha kupoteza kabisa,, sufuria ya laki 2 hamuoni shida kuweka kwenye kuni😢😢,, ngoja niendelee kutafuta pesa tu 🤣🤣Wewe binti nipo vijijini mimi endelea kunipamba, hapa nasubiri makande ya jioni yaive!
Haya bisha😎
Jamani kwani ukiyaweka kwenye kuni yanakuwaje🤣 mbona yanapika kama kawaida tuila wakishua hamna cha kupoteza kabisa,, sufuria ya laki 2 hamuoni shida kuweka kwenye kuni😢😢,, ngoja niendelee kutafuta pesa tu 🤣🤣
mmh tuliletewa zawadi na dada etu wa mjini ni mwaka wa pili mama ameyatunza uvunguni mwa kitanda chake😅😅😅 hataki yaharibikeJamani kwani ukiyaweka kwenye kuni yanakuwaje🤣 mbona yanapika kama kawaida tu
Hiyo tabia ya bibi yangu kuweka masufuria uvunguni mwake wakati kabati analo🤣mmh tuliletewa zawadi na dada etu wa mjini ni mwaka wa pili mama ameyatunza uvunguni mwa kitanda chake😅😅😅 hataki yaharibike
weee huyo rafiki ako anajua matumizi ya pesa sasa😅😅😅 anataka viharibike ili vinunuliwe vingineHiyo tabia ya bibi yangu kuweka masufuria uvunguni mwake wakati kabati analo🤣
Haya bora, kuna yale ya 350k mazito! Nilimkuta tafkiangu katenga kwenye kuni nikachoka😓
Alikuwa nayo kama hayo yakachakaa akayatupa, huwa namuangaliiaa🤔weee huyo rafiki ako anajua matumizi ya pesa sasa😅😅😅 anataka viharibike ili vinunuliwe vingine
unamuangalia unashindwa kummaliza😅😅😅 unatamani umuokotee hata maweAlikuwa nayo kama hayo yakachakaa akayatupa, huwa namuangaliiaa🤔
Yani sijui wakoje hawa watu wanaatupa vitu eti!wakati kuna wenzao hapa hatuna. Mmoja hapa namsikia anasema anataka kukitupa kitanda chake duh! Nimemwambia kigawe kuliko kukitupa duh!unamuangalia unashindwa kummaliza😅😅😅 unatamani umuokotee hata mawe
mbona atupe kitanda kimefanya nini si bora akaki topup tu,, huyo tumchumie fimbo hamna namnaYani sijui wakoje hawa watu wanaatupa vitu eti!wakati kuna wenzao hapa hatuna. Mmoja hapa namsikia anasema anataka kukitupa kitanda chake duh! Nimemwambia kigawe kuliko kukitupa duh!
Huyo anapenda kununua vitanda kuanzia 1m akatop up uwii huwa najikausha namuwaza tu🤔mbona atupe kitanda kimefanya nini si bora akaki topup tu,, huyo tumchumie fimbo hamna namna
naomba aje akitupe kwangu😜 isiwe tu kafanyia mauasherati mengimengiHuyo anapenda kununua vitanda kuanzia 1m akatop up uwii huwa najikausha namuwaza tu🤔
Vitanda vya siku hizi kuviamini sio mchezo😁naomba aje akitupe kwangu😜 isiwe tu kafanyia mauasherati mengimengi
chumvi ya mawe ipo 😜Vitanda vya siku hizi kuviamini sio mchezo😁
Subiri ukutane na kunguni🤭chumvi ya mawe ipo 😜
vitanda vya 1M vinaweza kuwa na kunguni? 😅😅 chemsha maji mwangia, chukua rungu pulizia alf naanika juaniSubiri ukutane na kunguni🤭
Mninga haubebi kunguni bwana! Nimwagie wapi mimi sijawahi miliki hao viumbe!😃vitanda vya 1M vinaweza kuwa na kunguni? 😅😅 chemsha maji mwangia, chukua rungu pulizia alf naanika juani