πππ Mwanangu sana weweBraza unacheza kama Bruno halafu Mimi Mbeumo π π€£
Msaada wa kuniunganisha na tootoπ«’Kila la kheri msomi ukikosa utaniambia nikupe msaadaπ
Zote za Adriz hapo juu hajafika vigezo vyako mkuu??πMsaada wa kuniunganisha na tootoπ«’
Behaviorist , Mzee wa makebo hana mpinzani kwenye sekta hiyo hapo sasa kapotea sana Jf .Sijawai kuwepo mkuu hukoππ
Ila behaviorist alikuwa ana story za huko kila siku anazileta Selfika sijui kaenda wap huyu jamaa
Sasa si ndio nalinganisha nijichukulie kamoja mzeeπ€·π½ββοΈZote za Adriz hapo juu hajafika vigezo vyako mkuu??π
Aah pita nae kwanza biashara ikifeli nipo hapa kukuletea mwingine nina vijana elfu 30 kama Sheikh mwaipopoπSasa si ndio nalinganisha nijichukulie kamoja mzeeπ€·π½ββοΈ
Kitengo cha kusagia Kunguni na kuchochea moto unakiendeleza angekuwa Bill The Don na Mr Kiwembe ningekimbia humu π€£ππππ Mwanangu sana wewe
Dah acha tuu kaka wakivalia njugu hutoboiπKitengo cha kusagia Kunguninna kuchochea moto unakiendeleza angekuwa Bill The Don na Mr Kiwembe ningekimbia humu π€£π
Bill The Don aliwahi kunitishia kuwa nikimpinga Malkia wake kwenye Uzi Korean ataanza kunisagia Kunguni kwa (______) ikabidi nikubaki kuwa chawa wa Bill The Don ndio maana makaona nasapoti Malkia wake mpya Baby D kipindi kile kule Korean .
Ile timu naiogopa waliwahi kukusakizia Couple humu mpaka ikawa kama kweli vile bila utata π π
Nakubali IT , ngoja na Mimi niupitie tena naona umeenda kuufufua kabisa ila nahisi sasa Wadau wengi watakuwa washafuta picha zao maana jamaa ilikuwa kama alituroga hivi πUzi si ni huu apa
Swala la kufukua makaburi humu mnipe heshima yangu
- Bujibuji Simba Nyamaume
- halisi picha tukutane
- Replies: 2,778
- Forum: Jamii Photos
Basi angalia the best unigaie mmoja! Sitaki majaribioπAah pita nae kwanza biashara ikifeli nipo hapa kukuletea mwingine nina vijana elfu 30 kama Sheikh mwaipopoπ
πAah nipe details fullBasi angalia the best unigaie mmoja! Sitaki majaribioπ
Yule Sheikh comedy kweli eti vijana wanatembea kilometa .......π π πAah pita nae kwanza biashara ikifeli nipo hapa kukuletea mwingine nina vijana elfu 30 kama Sheikh mwaipopoπ
Niangalizie tu atakayefaa kwa matumizi si unajua vigezo vya dogodogo mkuuππAah nipe details full
Huu uzi naujua sasa hivi Amani hakuna Haters na majungu , kumepoa hakuna vita .Ulivyoanza huu uzi nilikuwa nauchukulia poa sababu niliona kama kijiwe cha Amani na kupiga stori tu na kuchangamshanaHaters baba hatupumui, achieni zenu nyie msio na nyota za kunguniπ€£
Duhh mgeziacha tu wageni tujionee vya kuonaππΎ
Kaka acha tuuπ€£π€£π€£ yan siku naangalia anavyojinasibu nilicheka sanaYule Sheikh comedy kweli eti vijana wanatembea kilometa .......π π π
Mammae hii ichi π π π€£π€£ mtu anajitangazia kumiliki kundi hadharani halafu mamlaka zinamchekea . Zile clip zake nacheka sana ile confidence yake
Limeisha hiloNiangalizie tu atakayefaa kwa matumizi si unajua vigezo vya dogodogo mkuuπ
Hmm hapana nimegundua tu sio size zangu hizi wacha niwe mtazamaji, hata sitaki kujihusisha na vita vya kipumbavu mimi!Huu uzi naujua sasa hivi Amani hakuna Haters na majungu , kumepoa hakuna vita .Ulivyoanza huu uzi nilikuwa nauchukulia poa sababu niliona kama kijiwe cha Amani na kupiga stori tu na kuchangamshana
Kuna mwaka kabla ya wewe kujiunga nikasema ngoja nichungulie nikakuta vita sio poa , kubwa sijawahi kuona Jf ikihusisha makundi kibao na machawa . Ikafika hatua mpaka watu kupeana vitisho vikali na kutoleana mambo ya faragha . Nilibakaki pembeni nashuhudia mtanange bila kuchangia chochote na nikajifunza mengi sana pamoja na unafiki wa watu humu na tabia za members wengi.
Vita vya pili siku ishuhudia niliikutia mwishoni niliona na wewe unakiwasha humu π π
Sasa Kuna Amani hakuna majungu , vita wala haters ndio maana kwa mara ya kwanza nimekuwa active humu coz naona mazingira tulivu
That's maturityHmm hapana nimegundua tu sio size zangu hizi wacha niwe mtazamaji, hata sitaki kujihusisha na vita vya kipumbavu mimi!