Selfika na JF: Snap it. Show it

Muwe mnatoa taarifa nakaa na maji yangu ya upako😃😃kupitwa nikiwa hapa hapa kule kwetu ni dhambi ya mauti kabisa😃😃


Seran
 
Ila ngoja tu niupotezee huu uzi kama ambavyo nilikuwa siupi kipaumbele zamani ngoja niachane nao,maana siku ukisema uchungulie unakuta mtu ndio kama kajichetua kisha kashafuta, kama mizinguo flani tu hv
Kabla huja uzira hu uzi, Ukitaka Kuenjoy ni nipe nikupe! Haya twende kazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…