G
PoleeNimeumia! Napitwaje
Sawa baba mchungajiYoyote anataka kuombewa atume picha na majina matatu na sadaka Mungu anawapenda sana
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃAanh we hapo hakuna wa kubisha atakuwa na maisha magumu na madeni lukuki atakeyeponda hii picha!
Nakula sana tuKwanini huli?
โบโบโบโบโบโบโบWatu wanakuja na kufubaa!! Ila mnywani umegoma kushuka namba
Nyieee si mmekatazwa kutujaza lakini!!๐๐๐Hewaaah!! Sasa Hapa usiku ๐ด๐ด wa leo utakuwa mzuri kwangu , wewe utazeeka na utamu wakoโค๏ธ
Tubadilishane miili aisee nakaribia kitoto cha tembo๐๐ฝโโ๏ธNakula sana tu
Hahaha na sio vita mmoja!!Msimulie Seran vita nilopigana mnywani!! Najua Christine_1 yee anafahamu vizuri
Kesho nayo siku lamama ngoja nisubiri akitubles tenaPole bahati mbaya siwezi kuzinyakua ningekuonesha tu mtoto mzuri huyu๐
Njoo chukua ๐๐Tubadilishane miili aisee nakaribia kitoto cha tembo๐๐ฝโโ๏ธ
Si rahisi ila acha tu nijeNjoo chukua ๐๐
Yoyote anataka kuombewa atume picha na majina matatu na sadaka Mungu anawapenda sana
KaribuSi rahisi ila acha tu nije
Miili yetu ya kujidai
Ewaaah โบ๏ธMiili yetu ya kujidai
Hebu watuache hukoo!! ๐๐๐โบโบโบโบKamwili kazuri kadogodogo, wenzio mishangazi tuko hapa kufarijiana๐
Sanaaaa hahaaKuna enye ni mabinti wamechakaa sura ngumu kuliko hata sie the aunties hebu watuache hukoo!! ๐๐๐โบโบโบโบ
Na mna miili mizuri hadi raha miili ya kubebeka na kumdekea mtu!Miili yetu ya kujidai