spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,915
- 23,531
Ishiii unapajuaHaha au twende mazana beach?
Kumbe nina figure na hamniambii? Ila ππ½ββοΈBaada ya kusoma kwenye comments seran ni msukuma ndio nimeelewa why ako na ike figure.
Una namba nane ya auchoKumbe nina figure na hamniambii? Ila ππ½ββοΈ
Mnanikosesha raha ya kujianika humu kwa kuzidisha sifa wananguπππ½ββοΈSeran is maxing the scale. The load is too heavy
Ntapita i' ma @ youHaha haya uselfike, tumekumiss wana jukwaa.
Uje nkupeleke kisiwaniVizuri kabisa, Kazi yangu inanipelekaga kanda hiyo, Rukwa, katavi na Kigoma mara kwa mara
Siunajua michezo yangu mpaka nichonge chonge viungoπ kwani mchana ulikiwa wapiπ€Pita hapo nipite kabla sjaenda ziwan
Inawezekana kabisa mimi ndio naiona leo hii!Humu sifikiri kuna asienijua labda wewe tu π
Mchana nilikua mnadani uvinzaSiunajua michezo yangu mpaka nichonge chonge viungoπ kwani mchana ulikiwa wapiπ€
uwenda upo sahihi mkuu, mimi nmeshuhudia tu reception ni 100% . kumbe na big booty ipo π πππΎ
Sawa bwana spider! Mi nalala umeninyima mabarakaUna namba nane ya aucho
Basi imeisha hio mwandamiziIpo mkuu, anayo. π
Usilale kabla ujapita hapaSawa bwana spider! Mi nalala umeninyima mabaraka
Basi ulipitwa mwanetuMchana nilikua mnadani uvinza
Sisi ndio tunafanya assessment, na kutoa compliment.Mnanikosesha raha ya kujianika humu kwa kuzidisha sifa wananguπππ½ββοΈ
Basi imeisha hio mwandamizi
Weeee bana weeee! Kwenye kile kigauni cheupe, Naungana na wanaume walichoona nimeona π€£Kumbe nina figure na hamniambii? Ila ππ½ββοΈ
Sisi ndio tunafanya assessment, na kutoa compliment.