Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,788
- 34,782
Si huwa unaitaga majiraniπ€£π€£Majirani wa nini tena? πππ
πππ unanichekesha hapa.Mwenzie nna German shepherd hiyo ndinga wala sina..!! πΉπΉπΉ
πππ kheeh humu leo kuliwaka sana sio?πΉπΉπΉπΉ Eti Kantry anamjaza naye anajaa kaanza kutufunulia waraka wa baby boomer viwanja viliuzwa elfu 20..!!
Nimemwambia relaxxx sina hivyo vitu..!!
Unataka kumkimbia mamba? Mambaz 24 haikwepekiπ€£π€£πππ unanichekesha hapa.
Mwenzako najifunza malori kuendesha, nataka niwe π driver wa transit, mbinu ya kusepa Bongo hii.
πππ cantry bhana. Nimechoka na kazi, hapa enyewe najilazimisha tu.Si huwa unaitaga majiraniπ€£π€£
Relaxxx sio mimi huyo..!! πΉTajiri Leo umenivuruga sanaππ
Upo busy unamshugulikia dudubaya, wewe na bichea komweπ€£π€£πππ kheeh humu leo kuliwaka sana sio?
Nimepitwajee??
Safi, piga kazi dogoπππ cantry bhana. Nimechoka na kazi, hapa enyewe najilazimisha tu.
Ukubwa jalala.
Nimkimbie huyo Kichaa ana impact gani sasa? Hivi Wabongo ni halali kuburuzwa na veggies, mtu na akili zako timamu ukamfata yule mlevi wa visungura na nyagi feki?Unataka kumkimbia mamba? Mambaz 24 haikwepekiπ€£π€£
πΉπΉπΉ Jamaniiiiiπππ unanichekesha hapa.
Mwenzako najifunza malori kuendesha, nataka niwe π driver wa transit, mbinu ya kusepa Bongo hii.
πππ unanichekesha, dudu baya alisahaulika kabisa, ila trend aliyoichagua inambeba hatarii.Upo busy unamshugulikia dudubaya, wewe na bichea komweπ€£π€£
Leo umenivuruga hadi usingizi unakuja na kuondoka asee, nitakucall kesho nna jambo tuzungumzw seriousπͺRelaxxx sio mimi huyo..!! πΉ
G si unamjua anapenda kujiamulia mambo..!! πΉπΉπππ kheeh humu leo kuliwaka sana sio?
Nimepitwajee??
Ba tamu anaendesha tank la mafuta, hivi hapa yuko huko πΏπ²,πΉπΉπΉ Jamaniiiii
Kwahiyo unachukua cargo au tank?
Naomba uwe unanipa lift twende wote Zambia na Congo..!!
πππ sasa hapo ushamtisha ujue.G si unamjua anapenda kujiamulia mambo..!! πΉπΉ
Mwenzio anasubiri ukamilishe Jambo lake..!
πͺSafi, piga kazi dogo
Umevurugwa na kipi sasa? πΉLeo umenivuruga hadi usingizi unakuja na kuondoka asee, nitakucall kesho nna jambo tuzungumzw seriousπͺ
πΉπΉπΉBa tamu anaendesha tank la mafuta, hivi hapa yuko huko πΏπ²,
Ananifundishaga, nataka nijue na mie nasepea huko nje, mie ntataka cargo. Mafuta naogopa kulipuka wee.
ππ
Nimemtisha na nini? πΉπππ sasa hapo ushamtisha ujue.
πππ kaona kukaa dukani jau, kaamua kuachia vijana. Yeye anasukuma tank huko.πΉπΉπΉ
Kumbe shem anaendesha tank?
Kampuni gani?