Selfika na JF: Snap it. Show it

Aweeh sina utajiri wowote, we kama uneamua kunikataa kiaina sawa. ngoja nipunguze tu matumizi apa bill isijesoma parefu πŸ˜‚
Ulituwekea vibunda vile aiseee sio poa 😹😹

Wenzio tunaenda kula kwa mama muuza wali wa buku jero, mwenetu uko Amell unapigwa kiyoyozi na lunch ya laki na nusu..!!
 
Sio kule ni kwa comments, mie ananiita Tapeli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila G jamani.
Ushakuwa tapeli? 😹😹😹

Wewe ulimuhakikishia atanipata akakutumia miamala yake umekula kwa raha zako na dada ako hajampata ..!! Lazima awe mkali 😹😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…